MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Na wewe Koma kufikiri Tanzania tunalima mahindi tu
Hivi unajua kwamba Tanzania company inayoongoza kulipa kodi ni company ya beer 🍻
Sasa malighafi zote za kutengeneza bia zitatoka Tanzania (awali ni 50% tu ndio ilikua local) na sasa wameingia mikataba na wakulima kununua malighafi yote, yaani wakulima wetu wanazidi kuneemeka (multimillion dollars deal)
Kenya vyote hivi ni imported from outside, nani aliwaroga? Mbona mmekua wavivu hivi?
Nimekugusa penyewe mpaka unaniquote mara nyingi, ila ndio ujumbe wenyewe huo, wakulima wenu wangeendelea kuteseka sana kama mwenda zake angeendelea na huo ujuha wa chuki.
Sasa hivi tutawafikia tu na kununua mazao yao, hao walioko mbali wavute subira, tunaendelea kuboresha.