kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea hayo maisha hawezi kulizika na mwanaume mmoja, labda uwe na sifa za ziada kuwazidi wanaume wote aliotembea nao.
Kwa kifupi ukiaamua kuoa wewe potezea tu na wala usihangaike kufutilia au kumlinda acha wivu kabisa. Mfano hapa mtaani Kuna afande mmoja akisafiri TU mke wake anashinda kwenye bar na wanaume. Yaani watu wanajipigia TU.