Wadau unaoa mwanamke ambae unafahamu anawanaume wengine, Tena na wewe umemkuta anamwanaume halafu unataka asichepuke braza kuwa mpole tu

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea hayo maisha hawezi kulizika na mwanaume mmoja, labda uwe na sifa za ziada kuwazidi wanaume wote aliotembea nao.

Kwa kifupi ukiaamua kuoa wewe potezea tu na wala usihangaike kufutilia au kumlinda acha wivu kabisa. Mfano hapa mtaani Kuna afande mmoja akisafiri TU mke wake anashinda kwenye bar na wanaume. Yaani watu wanajipigia TU.
 
Wake za watu sikuhizi kuchepuka wanaona kawaida kabisa.
Hawashtuki au kuona ni Makosa.

Na wanafanya kwa Uangalifu wa Hali ya juu.

Pia Wanaona ni Haki yao. kwa kuwa wanaume wanafanya basi na wao wanafanya kama kulipiza Kisasi au kuweka Uwiano.

Mke wa mtu anaweza kudiriki kabisa kumzalia mwanaume wa nje.

Dunia imebadilika sana.

Bibi zetu hawakuwa hivi.

Kuna Muda unaweza kufikiria kuwa zile Mila zetu za Kutoa vingamuzi zilikuwa ni Sawa.
 
Angela magu
 
Kingamzi kitolewe?🙌
 
Kuna kademu kangu, nakapenda sana picha inaanzia hivi, hicho kidem kizenji, kilikua kisha chumbiwa na mwana, inasemekana akamfuma mwana na demu mwingine, wakapigana chini ndo nika zama mimi, Sasa huwa najiuliza hivi mwana hawez kuja kupiga mbeleni, na tetesi ni kia demu bado bikra Ina mana mwana hakupiga, daaah huwa najiuliza sana na ikiangalia mwana ananizidi pesa mpaka uzuri, acheni tu ni mungu tu ndo tunamtegemea,
 
Kuwa makini sana, iliwahi nitoteka hii situation kama yako, guess what?
Walirudiana, na manz alinieleza anyway nisiwe na maneno mengi, nachoshukuru manz sikuwahi kuwa na malengo nae.
 
Kuwa makini sana, iliwahi nitoteka hii situation kama yako, guess what?
Walirudiana, na manz alinieleza anyway nisiwe na maneno mengi, nachoshukuru manz sikuwahi kuwa na malengo nae.
Kaka moyo wangu upo pale, lakini nachoshukur mungu nikua naujua mchezo ulivo ingetokea ningeingia kichwa kichwa bila kujua historia ya demu nyuma sijui inhekuwaje tu, hivo hadi demu mwenyewe anafahamu picha lilivo,

Mkuu acha tu huyo demu ana mdogo wake, huyo ndogo wake pia alishawahi kua demu wangu ila siku piga, na demu wanajua picha lote hivo demu akithubutu Kuni lipua itabidi nami nimlipue mdogo wake, je mdogo wake atakubali hapo sijui?
 
Unapoamua kuoa unakuwa unabeti mwanamke anaweza badilika au akawa vilevile, ukweli ni kwamba kama kazoea kuwapanga hawezi acha, sababu huo ndio mfumo wake WA maisha.

Jipe mfano wewe mwanaume baada ya kuoa umeacha zile tabia ZAKO, inawezekana ukataka kuacha LAKINI kuna mchepuko kamzidi vitu fulani mkeo Kwa hiyo huwezi acha hiyo tabia , na Kwa mwanamke vivyo hivyo wewe unazidiwa vitu fulani na aliokuwa anadeti NAO. Huyo ataendelea NAO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…