Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23]
 
Ninanacho amini mm. Kila avatar mtu aliyeweka ndio inabeba uhalisia wa mtu husika. Mf..
Mtu anaweza kuweka avatar ya mtu akiwa katabasamu basi huyo anakua yupo very charming yaan mshikaji. Eg Iceman 3d. Transcend. Daby. Pia mtu akiweka avatar ya mtu yupo siriaz na yy anakua siriaz mf. BAK. Faizafox..

Kama nimekosea rukhusa kurekebisha
 
Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.
Huyu Atakuwa anazo account nyingi itabidi mods wamuunganishie aache mbwembwe zake
 
Tehteh kwa hiyo MO11 unamzungumziaje haha
 
mkuu unajua kuumbua watu weye.....yaani twasema u hit the nail on the head
 
akiweka ya vitoto albino na yeye ni albino?!!! ahahah Mondray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…