ipi?Ile avatar yako ilikuwa inanikera. Bora umeitoa
Wewe inaonekana unapenda ndoa saana..Hahaha
Mie simoo
Ya lijamaa limepanua mdomo meno kama beleshiipi?
hahahaha, labda ni picha yangu halisi hahahahahYa lijamaa limepanua mdomo meno kama beleshi
Hamna...hahahaha, labda ni picha yangu halisi hahahahah
Wacha wee!!Wewe inaonekana unapenda ndoa saana..
Avatar zako za kuvalishana Pete. Endelea utakipata unachokitafuta
Anapenda watoto albino.akiweka ya vitoto albino na yeye ni albino?!!! ahahah Mondray
AiseeKuna mada flani Mshana Jr aliielezea kule inteligence forum kuhusu mapozi ni mipangilio ya watu jinsi walivyo kaa kwenye picha.
Alisema kuna nguvu flani ambayo ndio hua inamfosi mtu akae style gani na ajipange vipi kwenye picha.
***********/*******/*****
My Take.
Mimi naona kua kuna nguvu flani pia ndio humfosi mtu kuweka Avatar ya picha flani. Na mara nyingi ile avatar asilimia kubwa hubeba muonekano wake halisi.
Mfano. Mm nimemuweka hapa Wentworth miller kwasababu naona tunashare something common. I.e Ukimya. Upole. Etc
Wacha wee!!
Hivi hao hapo ni watu eeeh
Nini tena ruhusa kunikosoa bibieAisee
Ni mtazamo tuuShemeji hilo ni swali au ?nilifundishwa hii ? alama lazima iwepo
Hamna shidaNini tena ruhusa kunikosoa bibie
Teh haya...Ni mtazamo tuu
nilibeti husemi hiviWewe unafikiri kwanini alichagua hiyo avatar?
Ni mcheshi na ana domo kubwa.
Hahaaa nimekumbalmba etiinilibeti husemi hivi
humu ndani inabidi tuvumiliane maana kuheshimiana tumeshindwaHahaha
Umeanza uchochezi
aisee sijaelewa kabisaHahaaa nimekumbalmba etii
[emoji16][emoji16][emoji16]humu ndani inabidi tuvumiliane maana kuheshimiana tumeshindwa
kwani vina uhusiano au ?Hamna ujue humu JF..MO11 ni moja ya watu nikiwaangalia kuanzia comments zake na avatar nacheka saana.
Kuna jamaa mwingine anaitwa tunakodisha bunduki [emoji16][emoji16]