Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Jovitha?Mwenyewe kuna mtu namfananisha na wewe yule uliyeniambia nimsaidie juzi. Na ukiniuliza sijui kwanini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jovitha?Mwenyewe kuna mtu namfananisha na wewe yule uliyeniambia nimsaidie juzi. Na ukiniuliza sijui kwanini.
wala haujamuonea anapenda hizo avatar dada nahisi yupo kwenye uchumba ujue mwenyewe nilikua najiuliza kwa nn anapenda hizo lazima kutakua na kituSi ni kweli eeeh! Au namuonea dada yako.
Ina maana wewe ni mtu wa mawazo sanaNinanacho amini mm. Kila avatar mtu aliyeweka ndio inabeba uhalisia wa mtu husika. Mf..
Mtu anaweza kuweka avatar ya mtu akiwa katabasamu basi huyo anakua yupo very charming yaan mshikaji. Eg Iceman 3d. Transcend. Daby. Pia mtu akiweka avatar ya mtu yupo siriaz na yy anakua siriaz mf. BAK. Faizafox..
Kama nimekosea rukhusa kurekebisha
Naweza sema ndio maana kuna ukweli 60%Ina maana wewe ni mtu wa mawazo sana
There you're.Jovitha?
Hahah...tumwombee kheri asije kumwagwawala haujamuonea anapenda hizo avatar dada nahisi yupo kwenye uchumba ujue mwenyewe nilikua najiuliza kwa nn anapenda hizo lazima kutakua na kitu
hahahh Daby sikuelewi mbona ya kumwaga hii mara ya pili unaweka na msisitizoHahah...tumwombee kheri asije kumwagwa
Hahahahahahahh Daby sikuelewi mbona ya kumwaga hii mara ya pili unaweka na msisitizo
Pole sana nimejaribu kukuvuta wee unakuja kwa taarifa yako umekosea wala mimi sio kabila hiloila nimepatia kiduchu kabila lako etiiii! halafu nikishasema wewe ni mvulana wa kichaga sasa ni juu ya wasomaji kutafakari wavulana wa kichaga wakoje, tehe tehe tehe tehe
Alafu sijamuona humu leoThere you're.
Shemeji koh kohMbona mnanitaja taja hadi napaliwa!!
Marahabaaaa!Shemeji koh koh
Ila usimwambie....Alafu sijamuona humu leo
Nimeanza kukuchukia halafuMarahabaaaa!
Okey.Nimeanza kukuchukia halafu