Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Ninanacho amini mm. Kila avatar mtu aliyeweka ndio inabeba uhalisia wa mtu husika. Mf..
Mtu anaweza kuweka avatar ya mtu akiwa katabasamu basi huyo anakua yupo very charming yaan mshikaji. Eg Iceman 3d. Transcend. Daby. Pia mtu akiweka avatar ya mtu yupo siriaz na yy anakua siriaz mf. BAK. Faizafox..

Kama nimekosea rukhusa kurekebisha
Ina maana wewe ni mtu wa mawazo sana
 
ila nimepatia kiduchu kabila lako etiiii! halafu nikishasema wewe ni mvulana wa kichaga sasa ni juu ya wasomaji kutafakari wavulana wa kichaga wakoje, tehe tehe tehe tehe
Pole sana nimejaribu kukuvuta wee unakuja kwa taarifa yako umekosea wala mimi sio kabila hilo
 
Back
Top Bottom