Wadau wa JF tujuane kwa kazi zetu, na dharau zitapungua

Mchonga majeneza namuhitaji aande kuchonga jeneza langu lenye umbo inanayo na mbususu kwa ajili ya mazishi yangu 2027
 
Sisi wazee wa bandari tunaruhusiwa kucomment?
 
Mimi Fundi seremala kwenye majengo makubwa
 
Attachments

  • IMG_20241130_140802_271.jpg
    304.7 KB · Views: 1
Muuza ujugu au karanga ukinikuta na ungo na vichele vyangu navyokata mitaa .Halooo.
 
Sasa kama wewe mwanzisha mada unafanya utani unategemea sisi wengine tuwe serious?
uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA ?
 
JF Expert member
 
Mnasubiri mda wa nyapu??
Na ambao hawajaoa je,
 
Basi kama dhumuni ni hili itakuw hili jukwaa halina maana sasa...
uzi upo kwenye jukwaa la utani,unategemea wote watakaotoa majibu hapa wako seriously? Hapana tupo hapa kupoteza mawazo,kufurahi,kutaniana na kusubiri muda wa nyapu ufike tuzinyapue, au nakosea mtani wangu mzabzab mkaazi wa kaliua TABORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…