Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Jana kwenye Raw kapata habari yake kutoka The Big Dog machine!!Maaahaaaaarajaaaaa....Jinder Mahali..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana kwenye Raw kapata habari yake kutoka The Big Dog machine!!Maaahaaaaarajaaaaa....Jinder Mahali..
Kidogo na ka aj styles kanajitahd kujiamini na mkanda wakeMkuu seth Rollins anajikubali aisee jamaa anautetea sana mkanda wake wa intercontinental
hahaha AJ wanajuana na NakamuraKidogo na ka aj styles kanajitahd kujiamini na mkanda wake
Kuna jamaa anaitwa carlito hiv yupo wap?
Alikua na nywele nyingi na alikua anapenda kula apple
Reigns kwa sasa hawezi mpiga rollings, saiz yake ndo hao kina jinder mahal, samoa joe au hata Elias hao ndo saiz yake.Finishing ya braza Seth rollins itaondoa wengi!...Hata akina kaka wakubwa kama vile akina Lesnar,roman reign,Strowman walahi wajiandae!!.....am telling you people!!
Roman Reign atakapochukua mkanda wa universal champion siku chache zijaazo naomba jipe adhabu ya kujitoa kwenye huu uzi mkuu!Reigns kwa sasa hawezi mpiga rollings, saiz yake ndo hao kina jinder mahal, samoa joe au hata Elias hao ndo saiz yake.
akichukua huo mkanda ....naahidi kuwa mwangiaji tu kwenye huu uzi....sita comment chochote.Roman Reign atakapochukua mkanda wa universal champion siku chache zijaazo naomba jipe adhabu ya kujitoa kwenye huu uzi mkuu!
Daah!! Kwanza unaijua wwe wewe maana sijawahi kukuona hukuBwana mdogo lala ukue mambo mengine unaingilia tu, utakuja chekwa shauri yako.
Daah!! Kwanza unaijua wwe wewe maana sijawahi kukuona huku
Via kuku mgeni
Wacha wee, Hiyo ilikua WWFBwana mdogo mm mieleka nafuatilia sana simpaka nije nijianike humu. Toka enzi za kina Hogan bado nipo nao tu.
https://www.quora.com/Why-do-WWE-fans-hate-Roman-ReignsMtaongea yoote but kwa sasa roman reigns ndo face of wwe, kama alivyokuwa cena kwa almost 12 years na ukiwa face of the company no matter how, u should be a fighting champion..., Na ndicho hicho roman anachokifanya na kila iitwapo monday night raw anatakiwa kuappear.
Anachezea kweli na sio utani.Strowman ni noma asee...Reign anaweza chezea kipigo.