Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Kwenye hii mieleka ya WWE kila mtu anaweza kumpiga kila.mtu.
Lesnar anaweza kumpiga roman hata strowmam na kinyume chake maana results zinapangwa.
Kama jana dolph zigler na dru wamewashinda strowman+fin balor.....ukiangalia stroman na miguvu yake ya kupigana watu 10 ashindwe na hao vilaza wawili....jibu ni No!! Sema wameamua kuwapandisha akina dolph ziggle na dru maana dru ndio.karudi wwe.
Na Lesnar sio kwamba anaogopa kupigana kila dei. Sema ni mkataba wake ulivyo.
Hivi mliamini kweli yule babu goldberg ni wa kumpiga lesnar kwa dakika 2?? Na hata lesnar mwanzoni alikataa ile script lakini wamuongezea mpunga kukubali kupigwa kirahisi na kuwa atashinda mechi ijayo kurudisha heshima.
Na ukumbuke kuwa WWE wana beef na CM PUNK na jamaa alikaa na mkanda kwa siki 431 na wanataka kumtoa kwenye record za WWE asiwepo kwenye vitabu na ndio maana lesnar wanamuacha avunje hiyo record. Nadhani after summer slam atakuwa amevunja hiyo record na ndio maana hata kwa Money in the Bank ingawa ni PPV lakini hatapigana.
So kuanzia summer slam anaweza poteza mkanda.
Lakini sio kwamba ni bora sana na hizo suplex city zake
 
Jinsi Mashabiki wasivyomkubali Roman Reigns

"Viewers have been tuning out in droves since WrestleMania 34, and fan dissatisfaction with the push of Reigns reached a boiling point at Backlash when fans were so feud up with the fact that Reigns was main-eventing (and winning) instead of AJ Styles vs. Shinsuke Nakamura that there was a mass exodus from the building while the match was still going on. The following night's Raw was the least watched episode of 2018, too."

WWE Raw's Plan To Get Roman Reigns Cheered Vs. Jinder Mahal Is Already Backfiring
 
Finishing ya braza Seth rollins itaondoa wengi!...Hata akina kaka wakubwa kama vile akina Lesnar,roman reign,Strowman walahi wajiandae!!.....am telling you people!!
 
Reigns mbwa mkubwa kapewa jindre mahal maharajaa maana ndio size yake,brock lesnar hamwez ile size kubwa.apambane na hali yake hana akili kabisa
 
Finishing ya braza Seth rollins itaondoa wengi!...Hata akina kaka wakubwa kama vile akina Lesnar,roman reign,Strowman walahi wajiandae!!.....am telling you people!!
Reigns kwa sasa hawezi mpiga rollings, saiz yake ndo hao kina jinder mahal, samoa joe au hata Elias hao ndo saiz yake.
 
Reigns kwa sasa hawezi mpiga rollings, saiz yake ndo hao kina jinder mahal, samoa joe au hata Elias hao ndo saiz yake.
Roman Reign atakapochukua mkanda wa universal champion siku chache zijaazo naomba jipe adhabu ya kujitoa kwenye huu uzi mkuu!
 
Jamani, Romani ndo anauwezo wa kumpiga Lesnar, hawa wengine kama Seth, jinder, Samoe hawamuwezi Roman
 
Mtaongea yoote but kwa sasa roman reigns ndo face of wwe, kama alivyokuwa cena kwa almost 12 years na ukiwa face of the company no matter how, u should be a fighting champion..., Na ndicho hicho roman anachokifanya na kila iitwapo monday night raw anatakiwa kuappear.
 
Back
Top Bottom