Elimu ni knowledge sio lugha kama ni lugha tu basi USA wala England wanaenda kufanya nini shule? hii ndio kasumba hapa mtoto akija home hello Daddy basi mzazi kichwa hicho hii shule hatari na ukija kwenye kuchambua mambo ndio utajuwa IQ na uelewa wa mtoto. sisemi English haifai hapana nataka watoto waelewe Maths, Science.... halafu lugha ije tu na unaweza kusoma ki faransa tu na ukapata kazi yenye uhitaji wa kifaransa.Lakini wanaongea Kiingereza fasaha tofauti na sisi hao wote uliowataja.
Hatujui akija Raisi mwingine na wazri wa elimu mwingine itakuwajeNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.
Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Kikatiba bunge linapisha sheria zinazopelekwa na serikali sasa wabunge ndio wawikilishi wa wananchi sauti yao ni sauti ya watu wao.Unaweza kunieleza lini Bunge letu liliwahi kutunga sheria?
Natumaini umelielewa swali langu
Yes serikali ya CCM inabomoa ElimuUharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Hiyo siyo kikatiba.Kikatiba bunge linapisha sheria zinazopelekwa na serikali sasa wabunge ndio wawikilishi wa wananchi sauti yao ni sauti ya watu wao.
Watu wanaendeshwa na mihemko tu, na wenyewe waonekane wamefanya mabadiliko.......baada ya muda ukija kufanya tathmini ya mabadiliko hayo unakuta utopolo tupu, wote wananyolewa vichwa pale law school......Yaleyale ya physics with chemistry. Elimu ya watoto inageuzwa jambo la majaribio, mtoto wa kidato cha kwanza anaweza vipi kuchagua mchepuo maalamu?? Wakati hata uwezo wake kwenye masomo hayo haujui.
Soon watakuja na upuuzi wao wa kiswahili iwe lugha ya kufundishia.
Walimu wakuendana na huu mtaala mpya waandaliwe piaUtafiti unaonyesha asilimia 90 ya walimu wa sekonari hawajui kiingereza vizuri hapa nchini, hivyo Basi, mm naona kiswahili ndio iwe lugha ya kujigunzia na kiingereza mtu ajifunze Kama somo na lugha.
Serikali inapeleka mapendekezo ya kutunga, kubali au kuleta mapendekezo ya kubadili sheria, bunge kazi yake kujadili na sheria hazipiti kama bunge limekataa na wakikubali haiwi sheria mpaka Rais atie wino. Hata tozo zilienda bungeni wakapitisha lakini kuja kushtuka wamepitisha kitu bila kujuwa au makusudi sababu ni serikali yao ya chama chao kupinga hawawezi au hawana uelewa hawako serious kujadili mambo muhimu au kikubwa uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo kama elimu yetu ilivyo.Hiyo siyo kikatiba.
Kikatiba Bunge linapaswa kutunga sheria
Upuuzi unaoendelea Tanzania tangu uhuru umewafumba ufahamu hata wale tunaowaona ni wanasiasa Nguli wenye fikra mbadala
Juzi tena kuna Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha amesema anapendekeza serikali kuruhusu somo la kubeti liwekwe kwenye mitaala ya vyuoni kote kuwa somo rasmi kufundishwa...Walinichosa walipoweka hesabu kuwa ya ana ana dooo..!!!
Elimu tuliyo nayo iliishapitwa na wakati, haimsaidii mwanafunzi kumudu/ kupambana na maisha napenda transition/ revolution. Tusipoteze muda wa vijana kusoma vitu visivyokuwa na msaada. Waache watu wamalize shule mapema wakiwa vijana na wapate nafasi ya kusoma/practice skills nyingine za maisha.Uharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Daa nchi yetu ina laana. Tatizo ni kwamba viongozi wanadhani wana akili sana kiasi cha kufanya mabadiliko kwa njia ya zimamoto bila kushirikisha wadau na wananchi kwa ujumla. Hili linaweza kuja kuwa bomu jingine ambalo litaharibu kabisa elimu. Kila mtu anakubali kuwa elimu yetu inahitaji mabadiliko, lakini hili la wansiasa wachche wasio na maono kukaa sehemu moja na kujaribu kuja na solution hakutasaidia chochote.Uharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Mfumo wa elimu tuliyonayo ni wengi tumepiga kelele hautufai. Lakini hata kama hautufai, ni hatari kabisa kwa wanasiasa wachache kujaribu kuja na mfumo kwa njia za kubahatisha. Kwa nini wasishirishe wataalam, wadau na wananchi wapate mawazo mapana kwanza?Elimu tuliyo nayo iliishapitwa na wakati, haimsaidii mwanafunzi kumudu/ kupambana na maisha napenda transition/ revolution. Tusipoteze muda wa vijana kusoma vitu visivyokuwa na msaada. Waache watu wamalize shule mapema wakiwa vijana na wapate nafasi ya kusoma/practice skills nyingine za maisha.
Kwa elimu tuliyonayo mtu anamaliza degree na hata uwezo wa kujiajiri hana.
Siyo suala la wazee wa kupinga. Ni suala la watu wenye akili ya kuhoji mabadiliko yanayofanywa na wanasiasa kwa njia ya zimamoto. Wewe unaona wanasiasa wachache kujifungia na kujaribu kuja na solution bila kuwashirikisha wataalam na wananchi ni sahihi? Wengine mmeathiriwa na elimu ya kukariri ndiyo maana mnadhani kuhoji jambo ni kupinga.wazee wakupinga kila kitu mpo kumbe
Serikali yote (Wizara ya Elimu) imekosa wataalamu mpaka ufanyike mchakato kama wa katiba ya Warioba???? Tatizo hatupo tayari kwa mabadiliko. Tusikariri maisha sio Nursery-Primary-SecondarySiyo suala la wazee wa kupinga. Ni suala la watu wenye akili ya kuhoji mabadiliko yanayofanywa na wanasiasa kwa njia ya zimamoto. Wewe unaona wanasiasa wachache kujifungia na kujaribu kuja na solution bila kuwashirikisha wataalam na wananchi ni sahihi? Wengine mmeathiriwa na elimu ya kukariri ndiyo maana mnadhani kuhoji jambo ni kupinga.
Kweli kabisaWalimu wakuendana na huu mtaala mpya waandaliwe pia
Lazima wapewe mafunzo wakiwa wanaendelea na kazi zao
Lakini pia wabadilishe na mtaala wa ufundishaji walimu ili kuendana na mtaala mpya wa wanafunzi wao.
Hii taarifa ww umetoa wapiNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.
Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Haya , bado unaonyesha madhara ya elimu yetu ya kukariri. Unyesha niliposema tunatakiwa tufanye mchakato kama wa Warioba wa katiba! Kusema kuwashirikisha wananchi ndiyo kuwa kama mchakato wa katiba? Na wewe unaona kabisa wataalam wachache kujifungia na kujaribu kuja na solution bila kushirikisha makundi mengine ni sawa? Pole sana.Serikali yote (Wizara ya Elimu) imekosa wataalamu mpaka ufanyike mchakato kama wa katiba ya Warioba???? Tatizo hatupo tayari kwa mabadiliko. Tusikariri maisha sio Nursery-Primary-Secondary