Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Wakenya nao kingereza chao kimeathiriwa sana ma mother tongue,
 
Kama nchi kwakweli kuna haja ya kutengeneza mifumo ya kuwabana wanasiasa wanaolala tu na kuamka na mawazo yao na kuyatekeleza.

Utasikia wadau walishirikishwa lakini kumbe kiuhalisia hao wadau ni watu wa karibu.

Ushirikishwaji wa wananchi kwenye utungaji wa sheria ni mdogo sana au ni kama hakuna kabisa.
 
Je, hayo mabadiliko ndio yatatibu vipi matatizo ya kielimu?
 
Safi kabisa
 
Mnajua how expensive is hyo system mnayoitaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the cheapest one imewashinda mnarukia expensive shit?? Wabongo bhana
 
Yawezekana ikawa ni jambo jema.

Maana mfumo uliopo wa darasa la saba una. Makondo makando mengi.

Mitihani kuvuja

Gharama. Nyingi za kuendesha zoezi la mtihani wa taifa na bado inavuja Kila mwaka.

Hizo pesa za mitihani wazielekeze kwenye mitihani ya ndani ya kwa kununuanvya kisasa kufanikisha zoezi

Pia pesa hizo zitumike kuwa morale walimu Kama posho.
 
Serikali yote (Wizara ya Elimu) imekosa wataalamu mpaka ufanyike mchakato kama wa katiba ya Warioba???? Tatizo hatupo tayari kwa mabadiliko. Tusikariri maisha sio Nursery-Primary-Secondary
Wako maprofesa fulani waliwai kujifungia kuhusu jambo fulani alafu wakaja na kitu cha ajabu.Usiamini sana waalamu wetu kwasababu mara nyingi wanakua nusu wataalam nusu wanasiasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

  1. Kutakapotokea wimbi la Wanafunzi kufeli Kwa wingi katika mitihani ya kidato cha nne, msianze kuwalalamikia walimu kwamba ndiyo chanzo.
    Tangu darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ndiyo anaukuta mtihani! Mhhh! Ngoja tusubiri tuone itakuaje.
    Kuna wadau hapo Juu wamesema Inawezekana ni sera ya "try and error process"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…