BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Pwani hawapendi kusoma.Uharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Wanaotuongoza wapo huko hivyo ndiyo yanayotokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwani hawapendi kusoma.Uharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Kiingereza Cha nini enyi waswahili!?Good move..wanafunzi wa nchi hii wanapoteza muda mwingi sana shuleni.
Kiingereza kitumike kuanzia awali mpaka chuo kikuu.
Nitarudi badae.
#MaendeleoHayanaChama
Wacha Tuendelee na KISWAHILI ILI Wanafunzi wa LAW SCHOOL WAFAULU WOTENi muda Sasa serikali kukubali mpango wa kuifanya lugha ya kiingereza kuwa lugha rasmi ya kufundishia kuanzia shule ya msingi.
Nimeelewa kwamba ni mtihani wa mwisho,yaani ule ambao tulikua tunafaulu lakini hatuchaguliwi,wanaofaulu huo mtihani ni wale ambao hawakuwa wakifanya vizuri miaka yote SITA unusu
Kutakapotokea wimbi la Wanafunzi kufeli Kwa wingi katika mitihani ya kidato cha nne, msianze kuwalalamikia walimu kwamba ndiyo chanzo.
Tangu darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ndiyo anaukuta mtihani! Mhhh! Ngoja tusubiri tuone itakuaje.
Kuna wadau hapo Juu wamesema Inawezekana ni sera ya "try and error process"..
Shule zipi zinajaa wanafunzi kati ya pwani na kusiko pwani!?Pwani hawapendi kusoma.
Wanaotuongoza wapo huko hivyo ndiyo yanayotokea
Wote sekondari,hakuna kubaguana kidini kwenye elimuNaomba Kujua,Sijaelewa,
Mtoto akishafika Darasa La 6 anakwendaje Form-1?
Sababu Nimesoma Kuwa Hakutakiwa na Mitihani Shule ya Msingi,Kutakuwa tuu na Mtihani wa form 4!
Sasa Mtoto akimaliza Darasa la 6 Watajiunga Vipi na Sekondary,Na Sekondary Maalum Pia?
Then Atafanya Mtihani form 4 na Kwenda Form 5!
Mwanafunzi anachagua mchepuo ( kombi) na wakati hajui zipoje. Mtu anachagua PCB , au PCM form one kwa kutumia maarifa ya Science ya msingi anafika form IIC, Logarithms, Trigonometrical ratios, electrolysis, valence, periodic table, classification, Nutrition, zinamwondoa kwenye reli. Anakumbuka HGL, HKL, HGK, ndio chaguo lake( Hapa safari ndefu inaanza ili kusoma kombi za ARTS).Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.
Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Sisi tunafata system ya uingereza ambao wanishia A level na unngia university ukifaulu na kusomea degree unayotaka kutokana na ufaulu wako ikiwa Sheria au sayansi huo mfano uliotoa ww ni was marekani hatujaamua sisi kuufuata.Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4
Primary miaka 4
Mtoto anaanza la kwanza akiwa na miaka 4 na kumaliza elementary akiwa 12 anakwenda sekondari at 13 years for 4 years na kumaliza at 16 anaingia college at 17 years for 4 years na degree zao ni masters!.
US mtu haruhusiwi kusomea sheria kama hana degree nyingine, hivyo kule kwenye sheria, sciences na udakitari wa binadamu, hakuna kilaza atapenya! Sio hapa vilaza wanakimbilia LL.B na kupewa degree za michongo!, kufika LST wana stopishwa basi ni kelele mwanzo mwisho!.
Kule hawana A level!.
P.
Kiswahili kifutwe lugha ya kufundishia iwe kiingereza, kiswahili libaki kama somo tu.
Na nyie mnaonyweshwa kila aina ya mataputapu kumbe bado mpo! Jifunze kutokubali kila jambo bila ya kulielewa kwanza.Wazee wakupinga kila kitu mpo kumbe.
hakuna kilaza atapenya!
P.
Huyo shoga Pascal Mayalla huwa ananifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku huwa unalalama mawakili wetu wa sasa hawana uwezo kama wale wa zamani, sijui hao mawakili wetu hutokea wapi kama sio LST.
Kumbe basi hata LST hutoa vilaza.
Na unavyotaka tuwaige Marekani, hizo facilities ikiwemo standard ya education itafanana nao? ikiwa huku kwetu walimu wachache, hakuna vitabu vya kutosha, nk..