Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Hoja zangu kama Raia hazihusiani na Chadema , usininyime uhuru wa kujieleza tafadhari .Hivi hawa kina Erythrocyte ndio think tanks wiobakia huko Chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja zangu kama Raia hazihusiani na Chadema , usininyime uhuru wa kujieleza tafadhari .Hivi hawa kina Erythrocyte ndio think tanks wiobakia huko Chadema?
Siasa za majitaka za kipimbavu kutoka huko mnakolishana upumbavu.Uongozi hautaki hayo unayoyaleta wewe hapa , hawa wangekuwa raia wa kawaida wala tusingesema kitu , lakini viongozi hawapaswi kujiona tofauti na wengine , hatuwezi kunyamazia mambo kama haya
Wakikosa cha kuandika wanakuja na utumbo kama huu.Hivi hawa kina Erythrocyte ndio think tanks wiobakia huko Chadema?
Zinahusiana maana wewe ndie umejivika uchawa wa chadema humu.Hoja zangu kama Raia hazihusiani na Chadema , usininyime uhuru wa kujieleza tafadhari .
Unafikiri bomu linalipua kiti kimoja tu!Hao ni marais wa nchi kuna suala zima la ulinzi. Vipi kama viti vya hapo hapo kanisani vikawekewa mabomu na yakawamaliza?. Huoni kama huo ni uzembe wa ulinzi.
Hii amani inatudanganya sana, tunashindwa kufikiria kwa kina.
SwadaktaHawa viongozi sijui huwa wanajiona wao wana nini cha tofauti na watu wengine.Uingereza kule walibebwa kwenye mabasi na hawakukataa lakini huku wanajiona hawezi kukaa kwenye benchi
Wacha weeee !!!Viongozi hawataki vumbi maana wasafi saaana
Mkuu, hebu acha kwanza kubisha halafu utengeneze hoja.Narudia kusema kwamba hivyo viti wamevikuta tayari vimewekwa na wao wamefanya kufuata maelekezo ya wapi pa kukaa.
Hatujaona mahali pakionyeshwa wao kugoma kukalia bench na kuagizwa waletewe hivyo viti.
Rais huwa hapangi bali hipangiwa na kanati maalum ya maandalizi,chini ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa husika kwa ushirikiano na TISS.
Tumieni ubongo kufikiri vema bafala ya kuutumia ku-bet mchana kutwa galafu mkija JFmnakuwa hoi.
Huyo ni rais wa nchi sio admin wa group la whatsapp la sekondari au la chuoni. Ni mtu mkubwa sana.Unafikiri bomu linalipua kiti kimoja tu!
Hakuna sababu ya namna hiyo ambayo suluhisho lake ni kuingia na kiti chako, hapo ni utukufu tu na kujikweza.
Mkuu, hebu acha kwanza kubisha halafu utengeneze hoja.
Kwamba Magufuli yeye wasaidizi wake hawakuweka kiti kwa upendeleo wao?
Kwamba mama yeye, akikuta kiti hakipo na wakati siku zote hadi uwanjani anapelekewa, atajua ni maamuzi ya wasaidizi wake? Kwanini asitoe mwongozo kama hapendi???
Halafu, kwanini linapokuja suala linalomhusu mama SSH ambalo linazua maswali tata, inaonekana wasaidizi wake ndio wakulaumiwa lakini kama ni la kusifiwa, anapewa sifa yeye?
Aisee, tuweni wazalendo! Uzalendo ni kusimamia maslahi ya kitaifa na si kiongozi! Uchawa usipitilize! Taifa litaangamia kwasbabu ya vijana wengi kupenda kujipendekeza hata pasipotakiwa

Vyovyoye mtakavyotafsiri ni sawa ila inakuaje nyie mnalazimisha viti vyeny vitumiwe?Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .
Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .
Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .
Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?
View attachment 2387287
Rais wa nchi siyo Kama Rais wa Bendi, lazima usalama wake uzingatiwe hasa,Ni ulimbukeni kuleta ukuu ndani ya nyumba ya ibada.
Kuna kiti jakaya aliandaliwa,alikitazama kwa kukidadisi Kisha 'hiki kiti si nilishakikataa'...akaletewa kingine,mwakyembe aliguswa tu begani,sumu ikaenea mwiliniNi ulimbukeni kuleta ukuu ndani ya nyumba ya ibada.