Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

We achia ngazi tu, kwanini uteseke?.... Mambo mengine ww Mungu anakuonyesha kbs lkn bd hutaki kuamini. Mkuu apo hakuna mahusiano kbs huyo ameshaelemewa teyari na upande mwengine. Na akuna jambo gumu duniani kama kumbadilisha mtu ambaye ameshaanza usaliti. Otherwise unataka kuteseka.
 
Piga screenshot zitume kwa huyo punda wake mpya, mwambie wewe umeshamove on amkanye mke wake hutaki kuingilia mahusiano yao.

Hii inaitwa kupigisha shoti.
Hahaha... Daah, hii itakuwa mtaka yote kwa pupa hukosa vyote!
 
Sijakataa na inawezekana pia mtoa mada ana mapungufu yake, lakini mpaka mwanamke anafikia hatua ya kukubali kufanyiwa maamuzi yatakayogharimu maisha yake ni dhahiri kuwa kuna dosari kwenye mfumo wake wa akili.

Sipo hapa kutetea upande wowote.
Aiseee.Fikra huru.
 
Wapo waliopata fedha na wana fedha na wameishia kupata maumivu kwa magold digger tu,
Mru anajiuliza huyu mwanamke kakosa nini kwangu mpaka atoke na kale " kajamaa" kadogo kenyewe hakana hata ajira kanashinda betting tu...!

Yakupasa kuelewa mapenzi yako ki hisia zaidi , na hapa ndio wanaume wengi wanapofeli jisni ya kujiconnect emotionally na kum-attract sexually mwanamke.

Wengi hukimbilia kuhonga ovyo ovyo , kujisfia hao ni watu wa hadhi fualin , au kujishow wako stable kiuchumi ili kumvutia mwanamke kimapenzi.... na hii ni very wrong!!!
 
Hiyo miaka uliyoitaja wengi /(sio wote) wanakuwa wame run out of option... so mwanamke akifikia hatua hiyo kama yupo kwenye hali mbaya kiuchumi na kimahusianao au akijihisi amepoanza kupoteza mvuto ...hutafuta loser yyyte yule atakeyjileta mbele yake..

Nitofauti na kidemu kinachochipuka na kupata attention kila anapokwenda..!

So kama wewe unapenda vitu vya nanmna hiyo good for yah, lakini watu wana weza kuwa handle hao 20 ~27 wapo na sio wote ni micharuko
 
Hahahaha hapana kabisa watoto wa kike huwa wanashikwa sana masikio.

Ila ngoja niendelee kutafuta pesa kaka.
Kweli bro, we zisake tu.. Hamna mapenzi hapo inaonesha jamaa jamaa kakuzidi kutoa ndo maana wanakuchukulia poa.
 
mwanaume wa kweli usikubali kupoteza kizembee mfwate na umwambie unayoyafahamu pia rudi home mweleze bint, na kama hatokuelewa mwache mbwa akajiwindie peke yake
Nimekuelewa sana kaka.
 
wewe una mapango nae gani


sio mwenyewe hueleweki.......

watamuoa tu mjini


saa hizi ulitakiwa uwe ushatoa posa mnapanga tarehe ya ndoa
 
Upo deep sana mkuu. Mwanzoni mwanamke ataolewa na mtu kwasababu anapata kila kitu, akishazoea raha zote (kupata mahitaji yote) ndio mapicha picha yanaanza kwasababu anakuwa hana hisia na huyo mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…