Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

Nakumbuka ilifika kipindi mpaka nikawa najichukia kwa matumizi mabaya ya fedha, zikiisha unajiapiza viapo vyote kuwa next time nitakuwa na discipline, Mungu anakuangalia tu huku anasema iiiiiiiiiiih! (In magufuli voice) , ni kama Mungu anakuwa anakupa majaribu vile.

Haipiti wiki mbili mara β€œmshindo” huu hapaa, sa si unasema ngoja nikapige mbili tu alafu nipate mood ya kusuka mipango, unasahau safari moja huanzisha nyingine kuja kushtuka laki ishaisha πŸ˜‚πŸ˜‚ unajipa kauli za kishujaa, Sea never dry, man never die πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kesho nayo siku.

Kuja kukaaa sawa mwezi, mwaka , miaka inakatika maisha yako ni yale yale unapiga mark time tu.
 
Hahahah
 
Nadhani kuna umri fulani wa ujana tena kwa wenzangu na mimi ambapo hatusubiri salary mwisho wa mwezi the more you earn kuna ile tabia unakuwa nayo kuwa hii ikienda kesho nitapata nyingine, kumbe hujui wakati ni sasa, wakati unasema nitaanza kusave kesho, kuna wenzako wanazidi kupiga hatua kwenye maisha.

All in all inahitajika commitment kubwa sana kwenye swala la discipline ya pesa na maisha kiujumla, kama OP alivyosema , you have to choose ufurahie moments za muda mfupi na majuto endelevu au ukubali kujijima na mengine yakupite for better tomorrow, the choice is yours.
 
Nmecheka sana hadi wananiona chizi hapa nlipokaa, eti "Unajipa kauli za kishujaa Sea never dry, man never die"
 
[emoji2][emoji2]

Kweli wewe Mla Bata.
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† kula bata...mla bata...hakuna namna
 
Kumbe wahanga tuko wengi [emoji23]
 
[emoji23][emoji23]
 
Kabisa mkuu, hapa cha muhimu kama mtu unataka uchomoke haraka uwe na wale marafiki ambao wao tunaweza kuwaita 'wanafiki' au 'wajanja' lkn wa maendeleo. Kuna marafiki mnakula bata wote ila ikifikia saa fln yeye humuoni, au anakunywa kdg kachangamka lkn saa nne tu huyooo ashaondoka, wewe unabaki unafukuzia madem, dem kakukalisha anaagiza tu, saa saba anakwambia anaenda kulala kwake, unaanza kutafuta malaya mwingine, hapo kuja kushtuka kesho yake ushamwaga kama 300k, ndo unakutana na mchizi wako 'mnaaa'. Hao wachizi wanasaidia sana kukufanya ushtuke na ujione mjinga kisha unakua na hasira ya kutoka huko
 
Mkuu mbona hii kazi yako unaweza kujiajiri kwa gharama ndogo , tena na bando la kuingia online unalo kabisa jitafute mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…