Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

Tatizo wanapenda maisha mazuri na mazuri ni gharama sana tena sana.
Ni kweli usemacho, ili kukidhi mahitaji yao inalazimu mpangwe boyfriends watatu kuendelea.

Baada ya hapo ni mwendo wa kuugua UTI na kaswende kila siku bila kusahau risk ya HIV
 
Sahihi kabisa....ukianza bia na nyapu ukiwa kwenye stage ya kuunga unga basi ujue utachelewa sana
 
Ukidate na demu mwenye gharama hata upate milioni 2 kila mwezi kama mshahara hiyo pesa ni ndogo na atakuona wewe ni broke man.
Mbaya zaidi hawana maajabu kitandani zaidi ya kumiliki sura nzuri tu.

Have once dated one, sura ya kawaida hana vizinga ila kitandani ni balaa πŸ™Œ

=======
Kuwa na mahusiano mengi kwa Mwanaume ni gharama sana kwa Dunia ya sasa yenye utandawazi
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…