New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
- Thread starter
- #21
DuuuuhHuyu hataolewaaa
DuuuuhHuyu hataolewaaa
Kwani bashite sio mtuDuh mshaanza kujipa mafungu
Copy ya Bashite hii
Kwani nime pata dhambi kuandika heti🤣🤣Hapa umejifanya kwamba unaongea kitoto ili kufukia neno" heti" huu ujanja ni wazamani sana
Inasikitisha sanaWadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
Hapana nduguKwani nime pata dhambi kuandika heti🤣🤣
Kuna kadem kimoja kamezaliwa 2008, nilikuwa nae kweye mahusiano ndani ya mwaka mzmaWadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
Imeisha hiyo mkuu wanguHapana ndugu
Duuuh kumbe ukawa una date na mke wa mtuKuna kadem kimoja kamezaliwa 2008, nilikuwa nae kweye mahusiano ndani ya mwaka mzma
Me nikajua najilia damu changa
kumbe yuko na mtoto mkoani aisee..
Hatari sana madogo tayari wana familiaInasikitisha sana
Baba amezaliwa 2006
Mama mtoto 2009
Mtoto 2024
Wote wanakula na kulamba sukari 😂
Amna mkuu alisha zalishwaga na kutelekezwa... Watu wako mbele yamudaDuuuh kumbe ukawa una date na mke wa mtu
Mtoto akipata ka homa tu wote wanaliaInasikitisha sana
Baba amezaliwa 2006
Mama mtoto 2009
Mtoto 2024
Wote wanakula na kulamba sukari 😂
Kweli kabisa mkuu wangu ngoja mungu anijalie nikutane na ubavu wanguWe unasubiri nini mkuu?
Wa 2000 tayari una 26 yrs, umri umeenda huo!
I'm on my way 🤞🤣🤣We unasubiri nini mkuu?
Wa 2000 tayari una 26 yrs, umri umeenda huo!
😁😁😁Zaza zi uoe tu heti
au unazemaje muhenga
Nishakataa unyonge wa kucheza basketi,,Yule mwimbaji wa densi Chiriku maneti,
Ambaye hakutaka kulala ndani ya neti,
Usiku mbu wakiamza kumng'ata anaketi,
Na mke wake ananza kumpapasa, na kumpetipeti.