Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣

Nishakataa unyonge wa kucheza basketi,,

Ndio maana nikaamua kujipigia kareti,,

Sivaagi vitambaa mimi nanyuka kadeti,,

Wachumba wa JF wala nisingewadeti,,
Huwa nawaamuru nyuki utafikiri mimi ni Liti,
Mimi mtu akiniongelesha vibaya namjibu shiti,
Kwenye basi mzee aliyezeeka wala simwachii siti,
Konda akinisemesha ajue kuwa ametingisha kiberiti.
 
Nishakataa unyonge wa kucheza basketi,,

Ndio maana nikaamua kujipigia kareti,,

Sivaagi vitambaa mimi nanyuka kadeti,,

Wachumba wa JF wala nisingewadeti,,
Hivi nyie ni watoto wa uswazi au wakishua wamageti,

maana wakishua vyao nepi wa uswazi wanapaa kama jet,

hapa ni ustaarabu tu nauliza mnachana au mnashona mashuka mablangeti,

Nime maliza muda ushaisha nime vuruga nika waset,
 
Niko na 36yrs hata siwazi, miaka minne mbele narudi shirikani kutetea utume saa hz nshakula ugali kuku nishasali sala za jioni nipo nashusha ka wine ichakate nyama cc min -me
 
Niko na 36yrs hata siwazi, miaka minne mbele narudi shirikani kutetea utume saa hz nshakula ugali kuku nishasali sala za jioni nipo nashusha ka wine ichakate nyama cc min -me
Hapo kwenye wine na nyama ni sehemu ya muhumu sana bwashee
 
Hivi nyie ni watoto wa uswazi au wakishua wamageti,

maana wakishua vyao nepi wa uswazi wanapaa kama jet,

hapa ni ustaarabu tu nauliza mnachana au mnashona mashuka mablangeti,

Nime maliza muda ushaisha nime vuruga nika waset,
Hivi we ni wema, kajala ama Jokate,,

Maana maneno kibao kama redio kaseti,,

Au kama vile yale ya udaku magazeti,,

Ulitumbuliwa kwasababu ya ufeki wa mavyeti
 
Huwa nawaamuru nyuki utafikiri mimi ni Liti,
Mimi mtu akiniongelesha vibaya namjibu shiti,
Kwenye basi mzee aliyezeeka wala simwachii siti,
Konda akinisemesha ajue kuwa ametingisha kiberiti.
Mmeshanichosha sasa kutumia tashtiti,,

Mnaimba magujaguja mkikonyezewa biti,,

Na leo mmenikuta nipo fitkali kiti,,

Wewe ni wa bagamoyo, mikese ama kibiti?
 
Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
Ila Tundu Lisu naye anapambania kila kitu, unakuta hadi mleta uzi naye anapiganiwa apate haki zake. Mimi nisingekubali huo msalaba.
 
Mmeshanichosha sasa kutumia tashtiti,,

Mnaimba magujaguja mkikonyezewa biti,,

Na leo mmenikuta nipo fitkali kiti,,

Wewe ni wa bagamoyo, mikese ama kibiti?
Mimi si wa bagamoyo bali wa Nyamisati,
Kila siku iendayo kwa mola nakula nyama ya nyati,
Nikitoka hapo nakwenda kuenjoy pale kati,
Nimeshazoea kuwabambia mademu kwenye party.
 
Mimi si wa bagamoyo bali wa Nyamisati,
Kila siku iendayo kwa mola nakula nyama ya nyati,
Nikitoka hapo nakwenda kuenjoy pale kati,
Nimeshazoea kuwabambia mademu kwenye party.
Umefanya sana kosa kupataja Nyamisati,,

Sasa kuanzia leo ntakuwinda na manati,,

Ansu tumbo lina gesi kila muda unaFart,,

Kama ungekuwa beki basi wewe Umtiti,,
 
Umefanya sana kosa kupataja Nyamisati,,

Sasa kuanzia leo ntakuwinda na manati,,

Ansu tumbo lina gesi kila muda unaFart,,

Kama ungekuwa beki basi wewe Umtiti,,
Umesema uwongo unaposema nina fart,
Maana Leo sijala kunde pamoja na chapati,
Huwa sili kunde ninapotaka kwenda kwenye umati,
Bali nakula tu wangu ugali Kwa nyama ya nyati.
 
Ila Tundu Lisu naye anapambania kila kitu, unakuta hadi mleta uzi naye anapiganiwa apate haki zake. Mimi nisingekubali huo msalaba.
daaah usichukulie serious ni joke mkuu wangu tuna changamshana tu 😥🙏 mimi nina simama na lissu yeye ni shujaa
 
Wa 2000 tulikuwa tunawapa pipi mkacheze ili tugonge mama zenu wadogo, leo hii mmekuwa sana hadi mnajiona mmezeeka
 
Umesema uwongo unaposema nina fart,
Maana Leo sijala kunde pamoja na chapati,
Huwa sili kunde ninapotaka kwenda kwenye umati,
Bali nakula tu wangu ugali Kwa nyama ya nyati.
Sawa umesema kwamba unakula sana nyati,,

Wanakuita brother K sababu tu ya mashati,,

Usinitembelee sana hapa Dar sio Babati,,

Vacation zako tandahimba afu zangu Muscat
 
Sawa umesema kwamba unakula sana nyati,,

Wanakuita brother K sababu tu ya mashati,,

Usinitembelee sana hapa Dar sio Babati,,

Vacation zako tandahimba afu zangu Muscat
Hawaniiti brother K kwa yaba ya kuvaa mashati,
Bali kwa sababu napenda utamu wa pale kati,
Halafu pia mimi natoke kule Rombo mashati,
Siyo kule Tarakea ambako kutwa wanavaa suti.
 
Hivi we ni wema, kajala ama Jokate,,

Maana maneno kibao kama redio kaseti,,

Au kama vile yale ya udaku magazeti,,

Ulitumbuliwa kwasababu ya ufeki wa mavyeti
Hivi mi ni obama, trump au billgate ?

Nina majumba magari au navijisenti,

Huo ni mtihani utajaza mwenyewe kwenye test,

Nyamaza kimya nipo bize nakula bata kwenye wallet,
 
Back
Top Bottom