New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 551
- 879
- Thread starter
- #61
daaah ila wahenga bwanaWa 2000 tulikuwa tunawapa pipi mkacheze ili tugonge mama zenu wadogo, leo hii mmekuwa sana hadi mnajiona mmezeeka
daaah ila wahenga bwanaWa 2000 tulikuwa tunawapa pipi mkacheze ili tugonge mama zenu wadogo, leo hii mmekuwa sana hadi mnajiona mmezeeka
Heti nilijua nyeti au vyeti 😜Nimeishia hapo kwenye "heti".
Heti ndio ulivyo fikiria?Heti nilijua nyeti au vyeti 😜
Mama zenu wadogo walikuwa wanawabeba mkiwa wadogo kuja geto kuzuga, mkifika mnapewa pipi au mnawekewa katuni msilete shidadaaah ila wahenga bwana
Unapenda sana kati ila huna kismati,,Hawaniiti brother K kwa yaba ya kuvaa mashati,
Bali kwa sababu napenda utamu wa pale kati,
Halafu pia mimi natoke kule Rombo mashati,
Siyo kule Tarakea ambako kutwa wanavaa suti.
Kimasihara masihara napenda kumenya tunda la kati,Unapenda sana kati ila huna kismati,,
Nahisi kabila lako utakuwa mmang'ati
Yaani tangu chekechea unafeli hisabati
Laini haina bundle unang'ang'ana kuchati
Hii yote ni kwasababu ya heti tu [emoji28]Kimasihara masihara napenda kumenya tunda la kati,
Natamani sana nikulane na manzi wa kihaya likini simpati,
Ambaye ana K tight siyo iliyopwaya kama mkono wa koti,
Yaani niwe nafurahi tu pindi nitakapokuwa napiga miti.
Mimi nilimpata ila ana miaka fourty,,Kimasihara masihara napenda kumenya tunda la kati,
Natamani sana nikulane na manzi wa kihaya likini simpati,
Ambaye ana K tight siyo iliyopwaya kama mkono wa koti,
Yaani niwe nafurahi tu pindi nitakapokuwa napiga miti.
Kwa hiyo nikiwa na pesa Nitaenjoy sana K?Hii yote ni kwasababu ya heti tu [emoji28]
Hahaha 😂, eti anatembea kama roboti,Mimi nilimpata ila ana miaka fourty,,
Alikuwa akitembea ni kama anashtua kijoti,,
Inaonekana mama yake alitaka kumu-abort,,
Ikashindikana ndio maana akatoka kama roboti,,
Sababu ni mademu wengine nilikuwa siwapati,,Hahaha 😂, eti anatembea kama roboti,
Kwamba ni kama anaendeshwa kwa rimoti! 🤔,
Nakuuliza, ulimtamani au ulimpenda kwa dhati?
Au ulimla kisa mademu wengine hata huwapati?
Tunapoelekea watu wataenda kuhalalisha kubaka. Watakwambia miaka 13 hadi 17 ndio bebe kaliMiaka zinaenda mbio 26 y/o mnazeeka kweli .
Dah! Kwamba anafanana kabisa na joti 🤔,Sababu ni mademu wengine nilikuwa siwapati,,
Nilikuwa namkwepa kila akiomba twende party,,
Nilitaka nim-pimp kwanza kwa kumuezeka kama bati,,
Kwa muonekano ule angekaribia kunishusha daraja kama Toti,,
Wala Sijampata kwa kuharibu noti,,Dah! Kwamba anafanana kabisa na joti 🤔,
Na kwamba ulimpata kwa kutumia noti 🤔,
Unasma ulimpenda kisa shavuni anakidoti🤔!
Yaani ukadhani anampiku hata joketi🤔!
Si bora ungelilomba hata tikiti??
Uko nje ya mada, punguza stress ili uandike vitu vinavyolandana na mada husika pia, punguza kunukuu watu na jumbe za kipumbavu.Tunapoelekea watu wataenda kuhalalisha kubaka. Watakwambia miaka 13 hadi 17 ndio bebe kali
Umekunywa chai kweli? Mbona unapaniki kijinga sana? Katafute vibarua upate hata buku mbili. Au uliwahi kulawitiwa ukiwa na huo umri nilioutaja. Pole lakiniUko nje ya mada, punguza stress ili uandike vitu vinavyolandana na mada husika pia, punguza kunukuu watu na jumbe za kipumbavu.
Ahhh! Acha kunidanganya bwana peter Magoti,Wala Sijampata kwa kuharibu noti,,
Ni wazazi tu wao ndio walimsort,,
Kipindi analetwa toka kwao alikuja na Escort,,
Hata kama KCEE aliimba ila huyu hawezi kuwa My Love Boat,,