Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa


Unaweza kuwa sawa.
Ninachojua ni kuwa wanawake wengi kwenye suala la uaminifu kazini ni zaidi ya sisi wanaume.
Lakini kwenye uchapakazi mwanaume ni zaidi ya Mwanamke.
Hapo itaamua mwenyewe kusuka au kunyoa.

Labda uchanganye wote kwa pamoja.
 
Kama mazungumzo ya msingi mlikuwa mnayajadili kimasikhara unadhani inakuaje sasa akaona mtamalizia yeye awahi kabumbu
 
Lakin kwa mwanafunzi kwann usiwe loyal as long uko pale kujifunza.?
 
Kama mazungumzo ya msingi mlikuwa mnayajadili kimasikhara unadhani inakuaje sasa akaona mtamalizia yeye awahi kabumbu
😂😂 hapa sasa ndio linakuja suala zima la akili na kujitambua..Hiv regardless of how u talk, unakosaje kujua hil suala mezani ni la msing?
 
😂😂 hapa sasa ndio linakuja suala zima la akili na kujitambua..Hiv regardless of how u talk, unakosaje kujua hil suala mezani ni la msing?
Ndio kama nilivyosema hapo suala la msingi kujadiliwa kimasikhara dogo akiangalia yupo field tu
Yaani ofisini ukiona mtu anaongea huku anafungua kabati mwingine anatazama kioo nje ujue kazi hamna tena hapo 😄
 
UJue mtu ukiwa chuo, ioa dhana ya uanafunzi kuna time inakufanyabuwe mjinga flan
Kupata hata sehemu ya kujitolea graduate ni mziki mnene, Hiyo nazungumzia kujitolea buree, huyo dogo atajuta ngoja mtaa umpitishe kwenye tanuru la moto, unamkatisha bosi wako aliyekuita kwa mazungumzo, ?? Mi huwa nawaambia on the spot nakuchana haswaa.
 
Hii ni hasty generalisation!
Sio sawa kutumia tukio la kijana huyo mmoja, kuhitimisha kwamba vijana wote tupo namna hiyo na tusisaidiwe.

Vijana tulimtuma hapo ofisini kwamba akatuwakilishe? Jibu ni hapana.

Kila jina ahukumiwe kwa makosa yake na sio kwa makosa ya wengine.

Ma-brothers wawe merits based kutuhukumu.

Samahai kama nimekukwaza kuku-qoute

Asante!
 
Sija soma story yote ila hawa wazee ni walafi wa madaraka na wachoyo wa fadhila hawatoi michongo kabisa hasa kwa sisi vijana wa kiume dada zetu nao ilj wapewe michongo lazima wa negwe kisawa sawa ndipo wapewe michongo ya hela. Na baada ya hapo wanaenda kwenye media kutusimanga ni upuuzi tu, hii tabia inapaswa kukomeshwa mara moja. Na ukitaka kuamini haya fuatilia baadhi ya teuzi serikalini utashangaa na nafsi yako una kuta mzee alisha fanya kazi serikalini mamiaka na mamiaka ana teuliwa kuwa balozi n.k wakati kuna vijana kibao wana zurula kutafuta ajira.
 
Mbona hujam quote mtu mkuu, relax kuwa na amani. Naeleea hilo ndio maana juu nikaanza na angalizo kuwa sio vijana wote. But pia umeona shuhuda za watu huko juu kwamba wamekutana sana na kesi zinazofanana na hizo kwahiyo kwa upande mwingine niko sahihi nikitumia uwingi "vijana" maana ni wengi mnoo wenye changamoto hizi
 
Punguza hasira mkuu..tujadiliane taratiib kwa vituo ili tuelewane
 

Ni kawaida ya vijana wengi hasa hawa ambao wako chuoni kwanza hawa wazi wakishamaliza chuo nini kinafuata, wao wanajua wakimaliza chuo watapata kazi tu laiti wangejua kuna watu wamemaliza chuo miaka na miaka hatujapata kazi hata izo intern kuzipata ni changamoto wasingeleta upuuzi kwenye field zao, wengi wao kwanza field anaona kama kujichosha
 

Siku nyingine uwe unasoma uzi mwanzo mwisho angalia ulivyoenda OPP ungekuwa karibu ningekuzaba kofi la kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…