Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

inawezekana umezaliwa kwenye gud tym kweli ila wazee wako hawakua na mindset hii ndio maana akaweza fanikiwa.am not judging ila nahis wewe uko na shida.
 
Sasa utajuaje qualifications na expirience za mtu bila cv? au utaanza kusoma kimoja kimoja?
 
Sasa utajuaje qualifications na expirience za mtu bila cv? au utaanza kusoma kimoja kimoja?
Hapana. Mtu akitaka kufanya kaz na wewe anakuchukua kwa lengo moja tuu!!! KAZI aliyoilenga.Ataipaimaje?
Performance and deliverables!! Bas .
Hiz habr zingine hazi mashiko sana.Kwa mtazamo wangu lakin!.
 
Unamlalamikia kwa sababu hajataka kufanya biashara na wewe?
 
Hapana. Mtu akitaka kufanya kaz na wewe anakuchukua kwa lengo moja tuu!!! KAZI aliyoilenga.Ataipaimaje?
Performance and deliverables!! Bas .
Hiz habr zingine hazi mashiko sana.Kwa mtazamo wangu lakin!.
Sikubaliani na wewe
Utampa mtu kazi
Hapana. Mtu akitaka kufanya kaz na wewe anakuchukua kwa lengo moja tuu!!! KAZI aliyoilenga.Ataipaimaje?
Performance and deliverables!! Bas .
Hiz habr zingine hazi mashiko sana.Kwa mtazamo wangu lakin!.
Labda hizo ajira unazitoa sio proffesional, yani zinaweza kufanywa na mtu yeyote.

Chukulia mfano unamuajiri accountant bila kujua qualifications zake na expirience.
Unaanza kupima performance yake baada ya kumpa ajira??

Sasa kama hayuko qualified utamfukuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…