Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Wajulishe ndugu na jamaa na wasaidizi wetu nyumbani wanapotayarisha mboga na matunda
Kuna huyu mdudu hatari anaenea kwa kasi..hakikisha mboga zinaoshwa vizuri na kwa kurudia
 
Wife alinieleza hii kitu nikajua utani, kachoka sukuma wiki kumbe ni kitu real!!!
 
Mkuu mbona hatari sana..naamini wataalamu wetu wa kilimo wameliona hili na watalifanyia kazi na kulitolea ufafanuzi..
 
Je mdudu huyu ana sumu? Au ukipika mbogamboga ikaiva vizuri hakuna madhara?
 
Mbona sijaona kauli rasmi ya serikali zaidi ya haya mapichapicha yenu yaliyotapakaa kila kona?

Hii habari mmeitolea wapi?
 
Duh! Kumbe kidudu Mtu ndo huyo....Dah halafu kumbe ni kidume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…