Habari hizi kwanza nilizisikia toka Sengerema, baadaye nikaja kuambiwa eti kwenye soko la mboga Igoma jijini Mwanza mdudu huyo ameonekana. La kushangaza hakuna anayejitokeza kusema kama amemuona au la. Hata wale wanaosema walitumia wakaugua hawajulikani.Zitakuwa Mboga za majani za Dar.
wacha utani mkuu ..Kidudu MTU nipo huku JF wala sipo kwenye mboga za majani
Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???
ebu ona picha yakeKwa ambao hawajapata ujumbe.
Mboga za majani = Kijani = CCM.
Mdudu mtu = Magufuli
Mlaji = Mtanzania
Asante kwa kutoa ujumbe kwa fasihi katika enzi hii ya mafumbo kwa kuogopa mkonowa mfalme.
We huoni hata kiuaraza hicho?ebu ona picha yake
View attachment 531486
MealybugHabari hizi kwanza nilizisikia toka Sengerema, baadaye nikaja kuambiwa eti kwenye soko la mboga Igoma jijini Mwanza mdudu huyo ameonekana. La kushangaza hakuna anayejitokeza kusema kama amemuona au la. Hata wale wanaosema walitumia wakaugua hawajulikani.
Wizara ya afya wako wapi?
Mkuuu unaonesha umeathrika na hii nchi,hamna tafsida wala fasihi hapa,mtoa post anasema mdudu alieleta gumzo anaitwa mealybug,usipotoshe jamiiKwa ambao hawajapata ujumbe.
Mboga za majani = Kijani = CCM.
Mdudu mtu = Magufuli
Mlaji = Mtanzania
Asante kwa kutoa ujumbe kwa fasihi katika enzi hii ya mafumbo kwa kuogopa mkonowa mfalme.
Mealybug,hana shida yoyote ,ni uvumi tu uliopoebu ona picha yake
View attachment 531486
Hakuna anayeweza kupotosha jamii.Mkuuu unaonesha umeathrika na hii nchi,hamna tafsida wala fasihi hapa,mtoa post anasema mdudu alieleta gumzo anaitwa mealybug,usipotoshe jamii
Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hakuna anayeweza kupotosha jamii.
Jamii inajipotosha yenyewe.
Magufuli na huyo kidudumtu hawana tofauti..
Mdudu huyo yupo,msibishe,na anamadhara makubwa.Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???
Utashitakiwa kwa kushiriki kosa ra mtandao ra kumdharirisha muheshimiwa.[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]