Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Zitakuwa Mboga za majani za Dar.
Habari hizi kwanza nilizisikia toka Sengerema, baadaye nikaja kuambiwa eti kwenye soko la mboga Igoma jijini Mwanza mdudu huyo ameonekana. La kushangaza hakuna anayejitokeza kusema kama amemuona au la. Hata wale wanaosema walitumia wakaugua hawajulikani.
Wizara ya afya wako wapi?
 
Siku zote usiamini lolote mpaka udhibitishe au likudhuru, hapo utaishi stress free life. Kidudu mtu na wewe ni mtu kamili afu unajipa woga!!!
 
Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???

Kwa ambao hawajapata ujumbe.

Mboga za majani = Kijani = CCM.
Mdudu mtu = Magufuli
Mlaji = Mtanzania

Asante kwa kutoa ujumbe kwa fasihi katika enzi hii ya mafumbo kwa kuogopa mkonowa mfalme.
 
Mdudu mtu tena, yupoje na kwanini aitwe mdudu mtu, je anafanana na mtu au , je madhara yake yapoje kwa mfano …
 
Kwa ambao hawajapata ujumbe.

Mboga za majani = Kijani = CCM.
Mdudu mtu = Magufuli
Mlaji = Mtanzania

Asante kwa kutoa ujumbe kwa fasihi katika enzi hii ya mafumbo kwa kuogopa mkonowa mfalme.
ebu ona picha yake
upload_2017-6-27_18-5-55.jpeg
 
Habari hizi kwanza nilizisikia toka Sengerema, baadaye nikaja kuambiwa eti kwenye soko la mboga Igoma jijini Mwanza mdudu huyo ameonekana. La kushangaza hakuna anayejitokeza kusema kama amemuona au la. Hata wale wanaosema walitumia wakaugua hawajulikani.
Wizara ya afya wako wapi?
Mealybug
 
Kwa ambao hawajapata ujumbe.

Mboga za majani = Kijani = CCM.
Mdudu mtu = Magufuli
Mlaji = Mtanzania

Asante kwa kutoa ujumbe kwa fasihi katika enzi hii ya mafumbo kwa kuogopa mkonowa mfalme.
Mkuuu unaonesha umeathrika na hii nchi,hamna tafsida wala fasihi hapa,mtoa post anasema mdudu alieleta gumzo anaitwa mealybug,usipotoshe jamii
 
Mkuuu unaonesha umeathrika na hii nchi,hamna tafsida wala fasihi hapa,mtoa post anasema mdudu alieleta gumzo anaitwa mealybug,usipotoshe jamii
Hakuna anayeweza kupotosha jamii.

Jamii inajipotosha yenyewe.

Magufuli na huyo kidudumtu hawana tofauti..
 
Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???
21694da20dd6d88d6e8d579b762ca705.jpg

Huyu ndiyo kidudu mtu

Watafiti wamemfanyia utafiti nakutoa report kuwa wamemhifadhi sehem kwa muda matokeo yake alibadilika kuwa kipepeo
 
-Maelezo mafupi kuhusu hicho kijududu-
NAME: Paracaccus marginatus
KINGDOM: Animalia
PHYLUM: Arthropoda
CLASS: Insecta
ORDER:Hemiptera
SUBORDER: Sternorrhyncha
SUPERFAMILLY:Coccoidea
GENUS: Paracoccus
SPACIES: P.margnatus
>Kiligunduliwa na Williams na Granave de willink mwaka 1992
>Kinashambulia sana majani au matawi ya mipapai, mparachichi, nyanya, maembe, na maarage
>Kinapatikana sana kwa wingi nchi za brazil, costarica, mexico na guatamala
>Nimejaribu kusoma kukihusu cjaona kama kina mathara kwa binadamu au myama sanasana kina affect mimea tu
 
Mdudu mtu yupo nimemuona kwa macho yangu bustanini kwangu kwenye jani la mpapai.
 
Jamani kuna tetesi mtaani kwamba mboga za majani zina mdudu mtu ambaye ni hatari kwa mlaji. Hivi haya maneno ni kweli au ni uongo kama ule ulowahi vumishwa eti ng'ombe kajifungua bin-adam???
Mdudu huyo yupo,msibishe,na anamadhara makubwa.
Mdudu mwenyewe huyu:
IMG-20170627-WA0004.jpeg
IMG-20170627-WA0005.jpeg
IMG-20170627-WA0002.jpeg

Waliodhurika kwa mdudu huyo no hawa:
IMG-20170627-WA0001.jpeg
IMG-20170627-WA0003.jpeg
 
Back
Top Bottom