Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Habari hizi kwanza nilizisikia toka Sengerema, baadaye nikaja kuambiwa eti kwenye soko la mboga Igoma jijini Mwanza mdudu huyo ameonekana. La kushangaza hakuna anayejitokeza kusema kama amemuona au la. Hata wale wanaosema walitumia wakaugua hawajulikani.Zitakuwa Mboga za majani za Dar.
Wizara ya afya wako wapi?