Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

Katika mafia ambao USA naona walichelea sana kuchukua maamuzi basi ni kwa huyu mwamba, mwamba alikuwa mafia
 
Marekani kuna sera ya kuakikisha black wanakuwa siyo matajiri sana... hivyo wanatumia sana mambo na sheria za ngono kuwa pruniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…