Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ambayo hawezi kuyasema.🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤭Ambayo hawezi kuyasema.🤔
DahllMeanwhile!!!
View attachment 3099163
Naona umeokoka sasa siku hizi una viakili akiliIla Sean Combs kashindikanika. Sijui wale mabinti zake mapacha Jessie na D'Lila wakiziona habari za mshua wao wanajihisije?
Wakikujibu nitagMafuta ya watoto ndo yapoje hayo mwenye kuyajua
Hahahaa mbona hilo kitambo njoo Jpili kwa nabii Mussa uone nikitoa ushuhudaNaona umeokoka sasa siku hizi una viakili akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba ina mapipa ya vilainishi.. Diddy ana baraaa walahi [emoji28][emoji28][emoji28]
Bado ataendelea kufaidi, hawezi filisika kabisa akawa kama sie humu JF 😅😅😅..JAmaaa alijua kuyafaidi maisha
Jamaa ni born hustler, liko smart sana na limetengeneza mkwanja si wa kitoto..ila ndo hivyo sasa muda wa kuanguka umefika kama ilivyokuwa kwa Michael Jackson na R kellyJAmaaa alijua kuyafaidi maisha
Ni mafia na liko smart sana, ila muda wa kuanguka umefikaKatika mafia ambao USA naona walichelea sana kuchukua maamuzi basi ni kwa huyu mwamba, mwamba alikuwa mafia
Marekani kuna sera ya kuakikisha black wanakuwa siyo matajiri sana... hivyo wanatumia sana mambo na sheria za ngono kuwa pruniiiMAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa kutumia Mtandao wa Biashara zao Kuwatisha, Kuwanyanyasa na Kuwatumia Wanawake kadhaa ili kukidhi haja zake za Kingono
Hatua hii inakuja ikiwa ni muda mfupi tangu Diddy akamatwe na Mamlaka za Uchunguzi ambapo katika maeleo ya Waendesha Mashtaka imeelezwa uvamizi uliofanywa na Maafisa wa Polisi Machi 2024 ulibaini uwepo wa Chupa zaidi ya 1,000 za Mafuta ya Watoto, Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya n.k.
Soma Pia: Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake
expected in court today after he was arrested in New York City on Monday
He faces three charges - racketeering, sex trafficking by force, fraud or coercion and transportation to engage in prostitution
Prosecutors allege Combs used his vast business empire to threaten, violently assault and coerce women to “fulfil his sexual desires”
The arrest in Manhattan follows raids on two of his properties in Los Angeles and Miami in March as part of an "ongoing investigation" into sex trafficking
Combs's lawyer, Marc Agnifilo, said they were "disappointed with the decision to pursue what we believe is an unjust prosecution"
Nathan Williams, the district attorney, outlined the newly-released indictment for reporters saying in part that Combs forced women to engage in sexual intercourse with other men.
He explained how Combs controlled sex performances, which the rapper called "freak offs"
When Combs didn't get his way with his victims, he used violence including dragging women by their hair, Williams said
The music mogul did not work alone and used his business and employees to get his way having people from security to personal assistants to help facilitate these alleged crimes, the news conference is told
The district attorney said that through their investigation, officials found more than 1,000 bottles of lubricant, firearms and ammunition
Williams did not take further charges off the table when speaking to reporters but didn't offer specific details
Prosecutors said they are seeking pre-trial for Combs and noted he would be in court later today
BBC