Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

Huyu jamaa yanaweza yakamkuta ya R kelly aisee maana Kila kukicha kesi au mshitaka yake yanakaribia mahakamani kwenye hukumu.
 
acha story za kipuuzi
Wewe ndiyo mpumbavu kule marekani hata makampuni ya kigeni wanatamani yavunjike yawe vipande au wauziwe wao kama ilivyo kwa tiktok ya china ...kuhusu ngono mbona ni kawaida na ushoga yaani ufiraji wa wanaume wao ndiyo wanaupigia chapuo duniani kote sasa huyo P dd kafanya kosa gani kufanya vitendo vya ushoga...je machoko wote waliopo marekani wametokana vip kama siyo kwa hayo matendo...unawezaje ukashabikia ushoga ila uka laani ubasha ? Je shoga anafanyikaje pasipo basha ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia moja mbovu.
 

kwani kesi yake ni ipi mkuu? Pdidy hana kesi ya kugongana na wenziwe, kesi yake ni kuwagonga wenziwe kwa kuwatilia vilevi kwa maana bila ya ridhaa na pia kuwagonga vijana wadogo kwa maana under age. Sasa hje hayo sio makosa?
Watu weusi kazi kulialia tu. Hopeless kabisa
 
Utajiri na umaarufu mwingine wa kiseng*sana.Kifupi kama kaliwa tako usher basi huyo mondi kaliwa vizuri tu,na nashangaa didy mwenye uwezo wa kula mademu yenye big nyaash anaenda kula kale kamfupa Tena mwanaume mwenzake.Halafu utaskia mtu anamsifia jamaa eti kijana mpambanaji,matko yaoo
 
Mashoga karibu wote wamegongwa kinyume na sheria wengi wamebakwa ...asilimia 90 ya mashoga wanegeuzwa kuwa mashoga wakiwa chini ya miaka 14.
Uwezi kuunga mkono ushoga bila ya kuunga mkono ubakaji ....wamarekani ni wanafiki mashoga ni zao la ubakaji wa mabasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…