Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana ma bafu sijui jakuzi wanaita yanajazwa virainishi unatumbukizwa humo naye anakushugulikia. Hiyo inaitwa virainishi vya mwili mzima.Nyumba ina mapipa ya vilainishi.. Diddy ana baraaa walahi 😅😅😅
Marekani kuna sera ya kuakikisha black wanakuwa siyo matajiri sana... hivyo wanatumia sana mambo na sheria za ngono kuwa pruniii
Wewe ndiyo mpumbavu kule marekani hata makampuni ya kigeni wanatamani yavunjike yawe vipande au wauziwe wao kama ilivyo kwa tiktok ya china ...kuhusu ngono mbona ni kawaida na ushoga yaani ufiraji wa wanaume wao ndiyo wanaupigia chapuo duniani kote sasa huyo P dd kafanya kosa gani kufanya vitendo vya ushoga...je machoko wote waliopo marekani wametokana vip kama siyo kwa hayo matendo...unawezaje ukashabikia ushoga ila uka laani ubasha ? Je shoga anafanyikaje pasipo basha ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia moja mbovu.acha story za kipuuzi
Usikute jamaa alikula vifanga vyake 🤣🤣🤣🤣Ila Sean Combs kashindikanika. Sijui wale mabinti zake mapacha Jessie na D'Lila wakiziona habari za mshua wao wanajihisije?
Kuna uwezekano wamepiga 3some na mshua waoUsikute jamaa alikula vifanga vyake 🤣🤣🤣🤣
Wewe ndiyo mpumbavu kule marekani hata makampuni ya kigeni wanatamani yavunjike yawe vipande au wauziwe wao kama ilivyo kwa tiktok ya china ...kuhusu ngono mbona ni kawaida na ushoga yaani ufiraji wa wanaume wao ndiyo wanaupigia chapuo duniani kote sasa huyo P dd kafanya kosa gani kufanya vitendo vya ushoga...je machoko wote waliopo marekani wametokana vip kama siyo kwa hayo matendo...unawezaje ukashabikia ushoga ila uka laani ubasha ? Je shoga anafanyikaje pasipo basha ...tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia moja mbovu.
mla macho ya wanaume wenzake
Si kuna wabongo fulani walienda hapo kwake vp walitoka salama kweli,maana inasemekana ukingia huko lazima uliwe 😄Usikute jamaa alikula vifanga vyake 🤣🤣🤣🤣
Eeh kumbe jamaa anafumuwa watu lindaSi kuna wabongo fulani walienda hapo kwake vp walitoka salama kweli,maana inasemekana ukingia huko lazima uliwe 😄
Ova
Baada ya rapa na producer na record owner wa bad boys records kukamatwa na fbi Kwa tuhuma za biashara ya ngono, madawa ya kulevya, ubakaji, kuwalewesha wasanii wa kiume na kuwabaka, kumolest watoto.
Pdiddy amehusishwa na mapenzi ya jinsia moja na wasanii maarufu kama jarule, meek mill, mase, usher Raymond, Justine biber, burna boy, Omarion.
Tajiri huyu wa bad boy records amekuwa akitumia mbinu ya kutoa promise kukusaidia katika industry ikiwemo kuwin Grammies, ama njia ingine anatumia ni pesa, ama kukulewesha madawa ya kulevya akikualika nyumbani kwake Kwa ajili ya kupart, na njia ya blackmail.
Kutokana na yanayojiri, basi tusikilize clip ya diamond, ambaye amedai alienda nyumbani Kwa pdiddy na kukiri kufanya mambo ambayo hawezi SEMA. Sasa sijui Kuna Siri au jambo Gani ambalo diamond analificha na ambalo konde boy au alikiba akilijua anaweza kutumia katika bifu yao. Jambo hili Diamond alizungumzia miaka 3 ilyopita.
View: https://youtu.be/KgDZmneARcg?si=wGEfe6oqPMAMBQeE
Mashoga karibu wote wamegongwa kinyume na sheria wengi wamebakwa ...asilimia 90 ya mashoga wanegeuzwa kuwa mashoga wakiwa chini ya miaka 14.kwani kesi yake ni ipi mkuu? Pdidy hana kesi ya kugongana na wenziwe, kesi yake ni kuwagonga wenziwe kwa kuwatilia vilevi kwa maana bila ya ridhaa na pia kuwagonga vijana wadogo kwa maana under age. Sasa hje hayo sio makosa?
Watu weusi kazi kulialia tu. Hopeless kabisa
Walimla kinyeooooAiseeeee Dayandimo alifanya mambo mengine alisema ni siri.
Umaarufu ni kitu kizito, japo haifahamiki kwa hakika alifanya nini (Dayandimo) akiwa na Sean "P Diddy/Puff Dady" Combs bado kuna shaka linaibuka.Aiseeeee Dayandimo alifanya mambo mengine alisema ni siri.