Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo
👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi , They are not financially stable , Hawana Ajira, hawawezi kuoa Kwa sababu hawana Uwezo wakutoa mahari na Kwa bahati mbaya sana wanaogopa gharama za kutunza mwanamke !!..... Kwao kipato Chao kinatosheleza tu kulipia Lodge ,Msosi ,kula mbususu, basi imeisha !!..... ( hili waweza lithibitisha kwenye nyuzi za Ajira, kulaumu Serikali kuhusu nyongeza za mishahara n.k )
👉Vijana Hawa wengi ni wanaishi mikoa ya Dar, Tanga, na ukanda wa pwani Kwa ujumla na Arusha ,, hii ndio mikoa Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Vijana wa hovyo , wanapenda sana Anasa, Sio wachapakazi , wanapenda kazi laini laini sanaaa, hii inawafanya wawe na mzungukzo kiduchu wa Pesa, matokeo yake Pesa wanayopata inawatosheleza wenyewe tu ,hawawezi kuhudumia Mke na watoto.... Hii inawalimu wawe wanataka kula tunda na kusepa!!.
👉Vijana Hawa wengi ni Waoga wa kitu wasichokijua, Asilimia kubwa Wanaishi kwakuangalia Maisha ya wengine bila kujua hapa Dunian Kila Mmoja ana Njia yake ya kuishi !!.
👉Vijana Hawa ni kweli Wana elimu za Kati na juu , ila siwez kukataa ukweli kwamba, kua na Elimu Kwa hapa Tanzania, hakumfanyi mtu asiwe mbumbumbu.
👉Ni Vijana pekee ambao wanataman wapate watoto, ila kamwe kuwahudumia hao watoto ni kazi sana !!.
👉Kwa bahati mbaya sana, ni Vijana wa STAREHE ambao pamoja na kwamba sote ni wafanya dhambi, Vijana Hawa, Sina hakika kama Kuna wanakwenda mbele ya makanisa / misikiti kumucha Mungu wao.
👉Vijana hawa ndani yake Kuna Mashoga ,Kwa Sasa Wana shindana na Wanawake , kwahivo inawalazim Vijana wao watumie mbinu za kininja ili tu wapate mabwana.
👉Vijana ambao ,Kwa namna fulan, ama malezi ,au mazingira yao yamewaathiri , nahii sasa inapelekea Ongezeko la Magonjwa ya Akili Kwa Vijana.
NAWASHAURI, KUOA, OENI UNGALI BADO MNANGUVU, MAISHA YA MWANAUME JUU YA MIAKA 50, YANAMTEGEMEA SANA MWANAMKE KWA ASILIMIA 100 !!.