Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hilo limsukule la gwajima limetokea wap linatak kunivuruga binamu
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu
Teh teh teh kama we unavyolalamika foleni huko Mbezi unafikiri wote ndo tu nakaa huko? huko Mbweni anakaa mzee kila week end naenda kumsabahi mi niko bado town nashkuru kwa Mungu alijenga mijengo mingi hapa jijini hakucheza Golori enzi za ujana wake so,now nakula pension tuu.
Ndio nimekuuliza wakishua wanakaa kwenye nyumba za msajili za WATANZANIA walipa kodi? Sasa hivi wapo wanahangaika kupanga ubavu bonyokwa kwenu huko!

Chezea pesa za penshen nn, mambo ya kishua wawaachie akina vannesa mdee
Utajiri wa uzeeni utaujua tu ulimbukeni mwingi.
Teh teh teh pole kama nilivyo sema tokea mwanzo siijui shida hadi huwa nashangaa watu wanaosema wanaolala njaa naona wanatania au ulishaona kuna sehemu nimechangia maisha magumu? Tokea mtoto nashuka Ngazi toka chumbani naenda Sebuleni na sizijui hata seat za daladala ndani zikoje,nursery nilikua napelekwa na gari,,o'level-Universtiy na push gari hadi sasa hivi! Au tukutane IG
Unavyosema uzeeni ndio nikushangae!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Sasa na wewe acha misifa nani kakuuliza? sasa kama baba yako alijenga si yeye acha kudharau baba za wenzio hata kama wamepanga ni maisha yao. Jenga zako ndio ujisifie .
IG mnako fake maisha kule kupigia picha magari ya watu.. 😱😀😀😀 wakishua my ass.
Teh teh teh 😀😱:thumbdown: hivi watu wa design hii bado mpo.. teh mwenye pesa hajisifii anasifiwa na wala hajitangazii anatangazwa ungekuwa nazo tungekujua tu kama watoto wengine wakishua sio maceleb but wanafahamika tu kwa pesa.
Teh teh teh na wewe kapige,,,niFake nikiwa na mom and my dad?
Joto hasira la bonyokwa
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Bado wapo na mimi ndio mmoja wapo,,,teh teh teh
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
HAta kama akikaa kuzimu , yule katoka ushuani bhana