Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.
Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.
Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.