Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

Manaibu

Biashara - Silaoneka
Ardhi - Anjelin mabula
Kazi - Katambi
Mqmbo ya ndani - Hamza
Fedha - mwanaidi
Sayansi - Kipanga
TAMISEMI- festo john
Nishati - Biabati
Utumishi- Ndejembi
Mawasiliano- Kundo andrea matthew
Mifugo na uvivu - Philipo
Madini - Ndulanye
Ujenzi - kasekenya
Ulemavu - Ummy ndalinanga
Maji - Prisca Mahundi
Sanaa - abdala ulega
Mazingira - mwita witara
EAC - William openshaw
Utalii- Marry Masanja
Tamisemi - Ernest
Kilimo - Mbashe
Afya - Dr Godwin mollel
Katiba na sheria - Pinda Godfrey Mizengo
Sio mbashe ni bashe
 
Kigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.
Ni kweli aisee, nilishahisi hivyo baada ya Dr. Bashiru kuongea katika dakika 45(ITV) alidokezea kuhusu kushughilikia viongozi wenye shobo na malumbano yasiyowahusu katkia mitandao. Na muda huo ndio Kigwa Boy na Mwamedi walikuwa wakikiwasha
 
Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Mayala bado hajakamilisha kujitoa fahamu.
Mwenzake, Dr Bana pia alisubiri sana, lakini pale alipoamua , kwa kudai kuwa 'chochote' atamkacho Jiwe ni sheria, hakumaliza mwezi.
Inatakiwa kujitoa akili zote kabisa ili abaki tupu, ili kiakili umtegemee yeye tu.
 
Je wajua wengine wameachwa kwa ajili ya matayarisho ya awamu ya sita 2025.
Unachekesha,miaka mitano sio siku tano.unakuwa ushapoteza mvuto come back sio rahisi kihivyo.
 
Waliotemwa ni;

1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa
SIKUTEGEMEA KUACHWA HUYU JAMAA NI MWADILIFU NA MCHAPA KAZI TATIZO LAKE NI MPOLE SANA KIASI KWAMBA WALIKUWA WANAMCHEZEA SHARUBU. NA ENEO HILO LA MAJI NDIPO MAJIZI YAMEJAA.

2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina
ALITUMIA NGUVU NYINGI NA KAMA VILE HAKUJUA MWELEKEO WA MKUU KATIKA SEKTA HII. ALIJARIBU KADRI YA UWEZO. NILIMPA 50/50 KURUDI HAPO

3. Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla
HUYU PILIKA NYINGI NA MAMBO MENGI YASIYOENDANA NA MAJUKUMU YAKE KIASI KWAMBA ALIKUWA ANAJIKUTA AMETOKA KWENYE MALENGO NA KUPOTEZA WENZAKE. WAKATI MWINGINE ANAPOTEZA MUDA WA KAZI NA FOCUS KWA VITU VISIVYOKUWA NA TIJA KWA NCHI. NILITEGEMEA ASINGERUDI HAPO.

4. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Isaac Kamwelwe
HUYU NDUGU KADRI MUDA ULIVYOSONGA ALIKUWA ANAISHIWA PUMZI KABISA NA NAHISI ATAKUWA AMESHUKURU KUPUMZISHWA

5. Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga
HUYU SIKUELEWA HATA ALICHOKUWA ANAFANYA NA NILIHISI KABISA NAIBU WAKE BASHE ALIKUWA NA KASI NA MWELEKEO SAHIHI KUSHINDA BOSS WAKE. SIKUTEGEMEA KAMA ANGERUDI

6. Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu
HUYU MZEE UMRI, KASI ITASUMBUA

Manaibu Waziri walioachwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri ni;

1. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza
NAFIKIRI KWA NGUVU MPYA ILIYOINGIA SONGWE KAMA SILINDE IMEBIDI ATOE FURSA HIYO ASUBIRI KIDOGO NAFASI SIKU ZA USONI.

2. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde
NO COMMENTS

3. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stellah Manyanya
NO COMMENTS

4. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni
KASI NA MAAMUZI

5. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo
MGAWANYO WA NAFASI, ANAKOTOKA KUNA WENGINE WAMETEULIWA WENGI

6. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu
NO COMMENTS

7. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atashanta Nditiye
MGAWANYO WA NAFASI KULE KATOKA MPANGO NA NDALICHAKO

8. Aliyekuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, Mussa Sima
NO COMMENTS
 
Back
Top Bottom