fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Anjela yumo hajatemwaSimuoni Angela Mabula wa Ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anjela yumo hajatemwaSimuoni Angela Mabula wa Ardhi
Alipunguza mahabaAngela kairuki alimkosea nini Jiwe !?
Sio mbashe ni basheManaibu
Biashara - Silaoneka
Ardhi - Anjelin mabula
Kazi - Katambi
Mqmbo ya ndani - Hamza
Fedha - mwanaidi
Sayansi - Kipanga
TAMISEMI- festo john
Nishati - Biabati
Utumishi- Ndejembi
Mawasiliano- Kundo andrea matthew
Mifugo na uvivu - Philipo
Madini - Ndulanye
Ujenzi - kasekenya
Ulemavu - Ummy ndalinanga
Maji - Prisca Mahundi
Sanaa - abdala ulega
Mazingira - mwita witara
EAC - William openshaw
Utalii- Marry Masanja
Tamisemi - Ernest
Kilimo - Mbashe
Afya - Dr Godwin mollel
Katiba na sheria - Pinda Godfrey Mizengo
Maana kwenye "saccos" wame balance 50/50:Huyu na bashe wote chali
Dini zao pia zimewaponza
Changanya na Baraza la Mapinduzi ZnzBaraza la mawaziri, watatu tu!
AiseeeWamenyang'anyana wanawake!!
[emoji16]Alipunguza mahaba
😁Anatakiwa akalee mtoto, naona hata ubunge alikosa
Ni kweli aisee, nilishahisi hivyo baada ya Dr. Bashiru kuongea katika dakika 45(ITV) alidokezea kuhusu kushughilikia viongozi wenye shobo na malumbano yasiyowahusu katkia mitandao. Na muda huo ndio Kigwa Boy na Mwamedi walikuwa wakikiwashaKigwangallah angeweza kuwa Waziri mzuri sana kwasababu ya intelligence na confidence yake lkn majivuno na kushobokea mitandao ya kijamii out of context, imemgharimu.
Je wajua wengine wameachwa kwa ajili ya matayarisho ya awamu ya sita 2025.Acha uchochezi.bashe karudi,waislam mkome baraza zima mko watatu tu safi sana muache kujikomba
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila mwaka Juliana anazaa na mumewe waliomuweka hawana hata nafasi ya kuonja.
Mayala bado hajakamilisha kujitoa fahamu.Pia msaka uteuzi Mheshimiwa Pascal Mayalla, yaani kawekwa huko kando kabisa, hebu ngoja tuone nafasi za watendaji wa vijiji zikitoka huenda akakumbukwa
Unachekesha,miaka mitano sio siku tano.unakuwa ushapoteza mvuto come back sio rahisi kihivyo.Je wajua wengine wameachwa kwa ajili ya matayarisho ya awamu ya sita 2025.
Kazi maalum.Kuondoa ukomo .
Unapimwa uvumilivu wako na kiu chako cha kupenda madaraka sio mvutoUnachekesha,miaka mitano sio siku tano.unakuwa ushapoteza mvuto come back sio rahisi kihivyo.
Siasa haiko hivyo ukikaa benchi miaka mitano kwishneyUnapimwa uvumilivu wako na kiu chako cha kupenda madaraka sio mvuto
Muda utasemaSiasa haiko hivyo ukikaa benchi miaka mitano kwishney