G
Hahah mnafufua makaburi tu. Binafsi naungana na CDM katika hili. Huu sio uchaguzi bali ni ushuzi.Ramadhani Kailima,kada mkongwe wa CCM tangu enzi,akiwa na kada Meigilu Nchemba,Kailima ndio mwenyekiti wa uchafu unaoitwa tume huru ya uchaguzi!!View attachment 3302182
CHAMA: CCM - 6Wafahamu Makamishna/Wajumbe wa Tume HURU ya Uchaguzi na wasifu wao,
1. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele - Mwenyekiti wa Tume,
2. Mheshimiwa Jaji wa Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk - Mjumbe/Kamishna,
3. Mheshimiwa Jaji Mahakama Kuu Asina A. Omari - Mjumbe/Kamishna,
4. Mheshimiwa Balozi Omari Ramadhan Mapuri - Mjumbe /Kamishna - Katibu Mwenezi CCM [Mstaafu], Balozi & Waziri Mambo ya Ndani [Mstaafu],
5. Mheshimiwa Magdalena Kamugisha Rwebangira - Mjumbe/Kamishna,
6. Mheshimiwa Zakia Mohamed Abubakar - Mjumbe/Kamishna.
SUMMARY
DINI: Waislam - 4
Wakristo - 2
JINSIA: Wanaume - 3
Wanawake - 3
CHAMA: CCM - ?
Upinzani - ?
Upande wa Muungano: Tanganyika - ?
Zanzibar - ?
Source: INEC | Wajumbe wa Tume
Hilo bumundaWa tano ni Lucas Mwashambwa Kijumbe wa NEC.
Hapo hata samia apate kura elfu 70 anatangazwa .Tume hii ni haramu, imejaza makada wa CCM
Tusiangalie dini, tuangalie uhalali wakeUchaguzi hauangalii dini
Lipo kisheriaToa hilo neno HURU
Nawaachie wengine sasa hivi nimekata kandoToa maoni yako
Kwani mada imeongelea ya mwigulu?Hii ya mwigulu na kahilima ni fake ,tatizo la chadomo huanzia hapo kila kitu ni fake
USSR
Ni ipi hiyo propaganda hapo kiongozi?Hachana na propaganda, usifate mkumbo
Samia uchu wa madaraka umempofusha, lengo ni kuendelea kuinufaisha Zanzibar na familia yake kwa kutumia raslimali za TanganyikaView attachment 3302178
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.
View attachment 3302176
Toa maoni yako.
Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.
Huu mfano wa kishetani ndiyo hauna maanaNa nyie shindeni muunde Tume yenu,hata kule Kenya Tume Ina wajumbe ambao ni Wafuasi wa Vyama.
Mwisho hata referee anaweza kuwa Yanga au Simba lakini Yuko kati kuamua dimba.