Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

 

Attachments

  • MTAAIBIKA TENA. MWACHIENI TUNDU LISSU.mp4
    30.3 MB
Ramadhani Kailima Vs Omar Ramadhani Mapuli.
Which is Which
 
Ni mwehu tu na mwenye kuwa na mtindio wa ubongo ndio anaweza kusema bila shaka kwamba hiyo ni tume huru ya uchaguzi na hatuwezi kumshangaa kwa sababu ana mtindio wa ubongo.
Ni mwehu tu na mwenye kuwa na mtindio wa ubongo ndio anaweza kusema bila shaka kwamba hiyo ni tume huru ya uchaguzi na hatuwezi kumshangaa kwa sababu ana mtindio wa ubongo.
 

Hali halisi jinsi balozi Mapuri alivyochoka akiwa ktk picha mjongeo (video) kwa sasa kwa umri mkubwa tofauti na picha yake ya maktaba akiwa ziarani Morogoro

25 February 2025
Morogoro, Tanzania

Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi wakiongea mkoani Morogoro


View: https://m.youtube.com/watch?v=wY5eOIvMud8Wajumbe hao wakiwemo balozi Omar Ramadhani Mapuri, jaji mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk, Jaji Asina A. Omari waliongozana na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele,

Watoa wasia mzito kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi wanaohudhuria mafunzo ya siku mbili wanaotoka mikoa ya Morogoro na Tanga...


Balozi Omar Ramadhani Mapuri 2025
 
CCM wajue tu kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
asante kwa kielelezo
 
Ni sanaa tupu
 
asante kwa kielelezo

Wajumbe hawa wa INEC ni waangalizi wa chama dola kongwe katika uhalisia wa mambo. Wapo pale kuendeleza mazingaonbwe ya uchafuzi wa uchaguzi kwa manufaa ya chama dola kongwe tawala.

No Reforms No Election 2025




Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Balozi Ramadhani Omar Mapuri akipiga kura katika kituo cha Serikali ya Mtaa Ali Hassan Mwinyi , kilichopo - Mikocheni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Tanzania 2024.
 
Wajumbe hawa kwa kweli walitakiwa wawe wanakula pensheni zao badala ya kutumika

16 January 2025
Mtwara, Tanzania

Mjumbe wa INEC akiwa kazini

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar afunga mkutano wa Tume na wadau wa uchaguzi Mkoa wa Mtwara

Dkt. Zakia Mohamed Abubakar (kulia) mjumbe wa INEC akifatilia kwa ukaribu teknolojia
 
Hapo kwenye picha sio Ramadhani Kailima...huyo aliye na Nchemba ni Prof. wa Uchumi...alikuwa UDSM na baadaye Chuo Kikuu cha Tumaini DSM..sijui yuko wapi kwa sasa.
Mwigulu usimuamini, Mwigulu alikana jina la Lameck Madelu na kuchukua la Mwigulu, haishangazi leo kujifanya anamkana kada mwenzao.

Kwa akili yako ya kawaida tu,kama ni Mwalimu wake wa chuo tena Prof ndio avae fulana ya CCM sare na Mwigulu?!! Ama chuo hicho walikua wanavalishwa nguo za CCM?!!

Kwa akili ya kawaida huyo anaejaribu kuaminisha watu ni Prof wa uchumi,mavazi na muonekano una sadiki?!!

Msome Mwalimu Lwaitama akkimuumbua Mwigulu Nchemba
 
Hapo kwenye picha sio Ramadhani Kailima...huyo aliye na Nchemba ni Prof. wa Uchumi...alikuwa UDSM na baadaye Chuo Kikuu cha Tumaini DSM..sijui yuko wapi kwa sasa.

Dr Lwaitama si unamfahamu?!! Haya kamuumbua Mwigulu,unasemaje?!!

Je na wewe binafsi ukitazama picha ambatanishi unaona sio Kailima eeeh?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…