Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini.

==

Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili jioni yanapaswa kuwa wazi kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi maalum.

Baada ya ukaguzi huo, maduka yatafungwa kwa usimamizi wa viongozi wa Serikali hadi Jumapili, baada ya kukamilika kwa mkutano wa uzinduzi wa soko.

Tafadhali usifunge duka lako kabla halijafanyiwa ukaguzi maalum na vyombo vya ulinzi na usalama. Hivyo, tunaomba wafanyabiashara wote kuzingatia na kutii agizo hili kama linavyoelekezwa kwenye barua rasmi.

Asanteni kwa ushirikiano wenu.

HAe94gPboAAlQxd.jpeg
 
Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini.

View attachment 3540454
Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.

Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.

Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
 
Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.

kwanini wasifunge hizo njia atazotumia wafunge pote!? aache uoga
 
Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.

Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.

Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Kwani wameshindwa kufunga barabara za muhimu tu atakazotumia,kwa nini wafunge maduka wewe ndiye kilaza mkubwa
 
Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.

Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.

Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Sure mi mwenyewe gari naacha mkuki ndo nachukua boda naingia kule hali ya kule balaa kama sisi raia wa kawaida inatushinda atakua Rais? Na chalamila pia katangaza machinga wa kupanga vitu nao waondoke
 
Back
Top Bottom