Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,280
- 7,485
Anaogopa kufa?
Siku moja kabla mnaenda kufunga maduka. Huo ni uogaSure mi mwenyewe gari naacha mkuki ndo nachukua boda naingia kule hali ya kule balaa kama sisi raia wa kawaida inatushinda atakua Rais? Na chalamila pia katangaza machinga wa kupanga vitu nao waondoke
Kufunga maduka siku moja kabla huo ni uoga uliopitiliza. Kifo hakikimbiwi, kikifika kimefikaHiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
Sababu kwenye kuua mnaiga ndio maana watu wanashangaa mnashindwa kuiga na hiliWho's Magufuli mpk iwe lazima Samia naye amuigè?
For the security purposes kule Congestion ni kubwa sana tutampata wapi Rais kama huyu Jamani Akiwa contaminated na ile hali?Siku moja kabla mnaenda kufunga maduka. Huo ni uoga
Congestion ya wapi wakati barabara zote zinakua locked. Tutampata wapi? Huyu ambae hata kusoma vizuri hajui?For the security purposes kule Congestion ni kubwa sana tutampata wapi Rais kama huyu Jamani Akiwa contaminated na ile hali?
Wewe Dar es salaam unaiona kwenye TV mimi nimezaliwa na kukulia hapa hapa Form One mpaka Six ndo nilitokaga baada ya kumaliza Degree nikasoma hapo UDSM so naifahamu Dar vizuri na nilivyojipataga shopping zangu ni Mlimany City, Msasani Mall and the likes kariakoo ina msongamano mkubwa siku moja utoke huko Sengerema uje utembee kariakoo angalau hata siku nne tuuCongestion ya wapi wakati barabara zote zinakua locked. Tutampata wapi? Huyu ambae hata kusoma vizuri hajui?
Pumba hizi, naijua dar na kkoo kabla hata hujafikiriwa kuzaliwa. Tokea unaning'inia kwenye mazaga ya mzee wakoWewe Dar es salaam unaiona kwenye TV mimi nimezaliwa na kukulia hapa hapa Form One mpaka Six ndo nilitokaga baada ya kumaliza Degree nikasoma hapo UDSM so naifahamu Dar vizuri na nilivyojipataga shopping zangu ni Mlimany City, Msasani Mall and the likes kariakoo ina msongamano mkubwa siku moja utoke huko Sengerema uje utembee kariakoo angalau hata siku nne tuu
Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Atapatikana tu, ni suala la muda. Maelfu aliyoua hayataenda bure. Damu haifunikwi kwa mchanga. Wajanja wanakula ''timing'' tu.Hapo nazani ni security reason, Wanakagua na kufunga wao.
Sikujua kama atakua Muoga hivi.
Samia ni bwege mmoja tu sio rais hamna aliemchaguaHiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
Nyie ndiyo waswahili wa Kariakoo? No wonder unadhani kuzaliwa na kukulia sehemu moja ni ujanja. Wenzako wanatamba kuishi sehemu nyingi wewe unatamba kukulia Dar. Huoni huyo alizaliwa mkoani halafu akaja Dar amekuzidi ujanja?Wewe Dar es salaam unaiona kwenye TV mimi nimezaliwa na kukulia hapa hapa Form One mpaka Six ndo nilitokaga baada ya kumaliza Degree nikasoma hapo UDSM so naifahamu Dar vizuri na nilivyojipataga shopping zangu ni Mlimany City, Msasani Mall and the likes kariakoo ina msongamano mkubwa siku moja utoke huko Sengerema uje utembee kariakoo angalau hata siku nne tuu
Mnamwogopa Captain Polepole mbwa nyie.Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Kwahiyo wewe ndio wa kunifundisha Kariakoo, hata hivyo kwani yeye ndiye rais (haramu) wa kwanza kwenda Kariakoo hadi afunge maduka.Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Acha kudanganya watu tangu lini msafara wa rais huwa unasubiri foleni.Sure mi mwenyewe gari naacha mkuki ndo nachukua boda naingia kule hali ya kule balaa kama sisi raia wa kawaida inatushinda atakua Rais? Na chalamila pia katangaza machinga wa kupanga vitu nao waondoke