Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Muite majina yote ila ndiyo Rais wa Tanzania hadi 2030Kwani samia ni rais au ni mpumbau tu?
Muite majina yote ila ndiyo Rais wa Tanzania hadi 2030Kwani samia ni rais au ni mpumbau tu?
Acha mambo ya marehemu, tunaongea mambo ya walio haiMbona Magufuri amewahi kwenda ulisikia wamefunga maduka?
Kwani lazima aende Samia tu? Kuna HAJI MANARA - si ni Diwani wa Kariakoo kabisa ,na afanye hiyo kazi ??Au..Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Bora huyo ni form 4 leaver ila sio failure kama samuya!Kwa akili zako na nilivyochunguza ID yako wewe Dar huijui na unaonekana Form four Leaver
Mpaka 2030, tutafika tu. Uzuri oct29 imewatambulisha na kuwabainisha wabaya wake wote. Hakuna kificho tena, kwahiyo ni rahisi kujikinga nao. Adui No 1 Kitima, 2- Lissu, wengine ni vidagaa. Hawa wamebanwa vibaya ama kwa kifungo cha nje au cha ndani.Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini
Usivae Chupi pia!😂Maduka yangu hayatafungwa
😂😂😂😂😂😂😂Pumba hizi, naijua dar na kkoo kabla hata hujafikiriwa kuzaliwa. Tokea unaning'inia kwenye mazaga ya mzee wako
Mkidakwa mkaminywe,mnapiga yoweAtapatikana tu, ni suala la muda. Maelfu aliyoua hayataenda bure. Damu haifunikwi kwa mchanga. Wajanja wanakula ''timing'' tu.
Sasa ndiyo inahusiana nini na ukaguzi maalum wa vyombo vya uchawa,we ni fakinWewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Eti "ulivyojipata" we ni takataka mlamba mat_ko ili ulipwe vijisenti ukale gengeni, kujipata na uchawa wapi na wapi, tena we ni chawa wa bei rahisi mnoWewe Dar es salaam unaiona kwenye TV mimi nimezaliwa na kukulia hapa hapa Form One mpaka Six ndo nilitokaga baada ya kumaliza Degree nikasoma hapo UDSM so naifahamu Dar vizuri na nilivyojipataga shopping zangu ni Mlimany City, Msasani Mall and the likes kariakoo ina msongamano mkubwa siku moja utoke huko Sengerema uje utembee kariakoo angalau hata siku nne tuu
Wananchi wako ndo walinzi namba Moja kumlinda kiongozi waoHofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini.
==
Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili jioni yanapaswa kuwa wazi kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi maalum.
Baada ya ukaguzi huo, maduka yatafungwa kwa usimamizi wa viongozi wa Serikali hadi Jumapili, baada ya kukamilika kwa mkutano wa uzinduzi wa soko.
Tafadhali usifunge duka lako kabla halijafanyiwa ukaguzi maalum na vyombo vya ulinzi na usalama. Hivyo, tunaomba wafanyabiashara wote kuzingatia na kutii agizo hili kama linavyoelekezwa kwenye barua rasmi.
Asanteni kwa ushirikiano wenu.
Kwani LAZIMA yeye afungue anaharibu biashara za watu tuAnaogopa kufa?
Kwani LAZIMA aende hukoKariakoo kuna umafya wa kila aina, sehemu hatari sana...
Kuna mtangazaji mmoja wa kituo fulani ali-report mambo yanayoendelea kariakoo, walichomfanya alikiri hatokuja kusahau wala kurudia tena...
Cc: Mahondaw
Povu lote hilo umaskini unakusumbua,Eti "ulivyojipata" we ni takataka mlamba mat_ko ili ulipwe vijisenti ukale gengeni, kujipata na uchawa wapi na wapi, tena we ni chawa wa bei rahisi mno
Gari unaiacha ila moyo unaenda nao, kariakoo hakuna maajabu yeyote nakatiza kila siku na vibunda vya kutosha usalama upo na ni mkubwa.Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo