Wewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
kwanini wasifunge hizo njia atazotumia wafunge pote!? aache uogaWewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzahakwanini wasifunge hizo njia atazotumia wafunge pote!? aache uoga
Kwani samia ni rais au ni mpumbau tu?Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
JF ya siku hizi inakosa hadhi kwa kuruhusu mahabithi wa namna hiiKwani samia ni rais au ni mpumbau tu?
Kwani wameshindwa kufunga barabara za muhimu tu atakazotumia,kwa nini wafunge maduka wewe ndiye kilaza mkubwaWewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Mbona Magufuri amewahi kwenda ulisikia wamefunga maduka?Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
kwani aogopa nini na alisema hakuna nywinywinywiHiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
Nguo zinambana anajuta kuwa raiskwani aogopa nini na alisema hakuna nywinywinywi
Kwani samia ni rais au ni mpumbau tu?
Who's Magufuli mpk iwe lazima Samia naye amuigè?Mbona Magufuri amewahi kwenda ulisikia wamefunga maduka?
Sure mi mwenyewe gari naacha mkuki ndo nachukua boda naingia kule hali ya kule balaa kama sisi raia wa kawaida inatushinda atakua Rais? Na chalamila pia katangaza machinga wa kupanga vitu nao waondokeWewe unaijuwa Kariakoo au unaandika tu lama kuku aliyekatwa kichwa.
Mimi tu hapa raia nikiwa na shida Kariakoo nafikiria mara mbili. Kama lazima niende basi gari ninaacha Barabara ya Lumumba opposite na CRDB Vijana.
Hebu jaribu tu kushirikisha ubongo wako kabla hujaandika mada kama hizo
Hawezi kukujibu huyo kashakimbia mazimaWho's Magufuli mpk iwe lazima Samia naye amuigè?