Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

Pumba hizi, naijua dar na kkoo kabla hata hujafikiriwa kuzaliwa. Tokea unaning'inia kwenye mazaga ya mzee wako
Kwa akili zako na nilivyochunguza ID yako wewe Dar huijui na unaonekana Form four Leaver
 
JF ya siku hizi inakosa hadhi kwa kuruhusu mahabithi wa namna hii
Aisee Zamani members wengi walikuaga graduates πŸŽ“ sasa kuna wimbi kubwa la Form four leavers humu ndo maana kuna matusi sana wanaiona JF kama Insta.
 
Vichwa vyao vimejaa chuki na ubaguzi.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa akili yako, lakini security ya Rais siyo jambo la mzaha
Kwani yeye ni rais wa kwanza, 2013 Obama alikuja Dar lakini hatukuona biashara za watu zikifungwa.
 
Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini.

View attachment 3540454
Umeelewa hio barua kweli? Inabidi maduka yanayozunguka soko na hio ni sababu ya kiusalama. Hilo ni solo la nyanya na vitunguu like lililoungua pale Kariakoo, na sio soko zima la Kariakoo, wanauza simu, mashuka, Hardware, stationary etc Hilo tangazo haliwahusu unless duka Lao linaangalizana na Hilo soko la nyanya.
 
Na vyombo vya ulinzi kukagua maduka kabla hayajafungwa wanaogopa kutakua kumetegwa mabomu au?
 
Kwanini yafungwe siku mbili.
 
Kwanini yafungwe siku mbili.
Hebu soma vizuri barua yako, yatakaguliwa Leo jioni saa 12 na Kesho ni shughuli, less than 24 hours hizo siku mbili ndio zipi? Kikawaida maduka mengi kuanzia Leo jioni Hadi Kesho hayafunguliwi sio siku za biashara.
 
Tena wafunge kabisa moja kwa moja hivyo vibanda vya nje ambavyo ni uchafu ili libaki soko kama soko , na sisi wa Masaki tuweze kufika Kariakoo kwa gari kama ilivyokuwa zamani


 
Mimi sifungi
 

Your browser is not able to display this video.
 
Nyie ndiyo waswahili wa Kariakoo? No wonder unadhani kuzaliwa na kukulia sehemu moja ni ujanja. Wenzako wanatamba kuishi sehemu nyingi wewe unatamba kukulia Dar. Huoni huyo alizaliwa mkoani halafu akaja Dar amekuzidi ujanja?
Mimi hapa hapa kama nataka kutembea nitaenda Dubai au Abudhabi kwa ndugu zangu bado atakua kanizidi kwa kukulia Misungwi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…