Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

Muuaji anaogopa kupigwa risasi za kichwa kama alivyotoa amri watu wapigwe risasi kichwani.

Hata karatasi ikianguka kwa sasa lazima ahamaki.

Anaweza kudhani anajilinda sana lakini pengine ni anasogeza tu mbele siku za kisasi chake.

Zile risasi walizokua wanapigwa watu kutokea maghorofani na kuvamiwa majumbani mwao hazitosahaulika kamwe.

Afahamu kabisa wala hatujasahau na wala hatowahi kusamehewa.
 
Kwani lazima aende Samia tu? Kuna HAJI MANARA - si ni Diwani wa Kariakoo kabisa ,na afanye hiyo kazi ??Au..
 
Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini
Mpaka 2030, tutafika tu. Uzuri oct29 imewatambulisha na kuwabainisha wabaya wake wote. Hakuna kificho tena, kwahiyo ni rahisi kujikinga nao. Adui No 1 Kitima, 2- Lissu, wengine ni vidagaa. Hawa wamebanwa vibaya ama kwa kifungo cha nje au cha ndani.
 
Sasa ndiyo inahusiana nini na ukaguzi maalum wa vyombo vya uchawa,we ni fakin
 
Eti "ulivyojipata" we ni takataka mlamba mat_ko ili ulipwe vijisenti ukale gengeni, kujipata na uchawa wapi na wapi, tena we ni chawa wa bei rahisi mno
 
Wananchi wako ndo walinzi namba Moja kumlinda kiongozi wao

Kwa kiongozi halali anayependwa na wananchi haihitaji hizo kagiuzi nyingi hivyo

Lakini kwani LAZIMA aje afingue yeye ,kwanini alete taharuki kwenye biashara za watu bila sababu
 
Kariakoo kuna umafya wa kila aina, sehemu hatari sana...

Kuna mtangazaji mmoja wa kituo fulani ali-report mambo yanayoendelea kariakoo, walichomfanya alikiri hatokuja kusahau wala kurudia tena...


Cc: Mahondaw
Kwani LAZIMA aende huko
Aache watu wafanye biashara asilete taharuki bure
 
Eti "ulivyojipata" we ni takataka mlamba mat_ko ili ulipwe vijisenti ukale gengeni, kujipata na uchawa wapi na wapi, tena we ni chawa wa bei rahisi mno
Povu lote hilo umaskini unakusumbua,
 
Gari unaiacha ila moyo unaenda nao, kariakoo hakuna maajabu yeyote nakatiza kila siku na vibunda vya kutosha usalama upo na ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…