Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

Unajua kuna kitu unatakiwa kufahamu kuhusu biashara. Kila biashara ina kanuni zake na hizo kanuni zinaitwa kanuni za tasinia husika ambazo zinawasaidia kuweza kumaintain soko, kuendesha maisha yao na kulipa gharama za tozo na kodi za serikali.

Huyu binti anachokifanya ni kukurupuka na kuleta ujuaji usio na kichwa wala miguu bila kuelewa kuna waliomtangulia kwenye importation ya bidhaa kutoka china.

Hawa wanaofanya kazi kariakoo pale kwa kukodi frame na kulipia ushuru ni sehemu ya chanzo cha mapato ya serikali wakisema waache kufanya biashara then serikali itakosa mapato mengi sana na watu wengi watakosa ajira.

Anachofanya Niffer ni unethical kibiashara kwasababu yeye halipi gharama za kiuendeshaji sawa na wale wa kariakoo ingawa anadai ana frame lakini haiwezi kuwa sababu ya kujitetea kuwa yupo sawa na wa kariakoo.

Kitu kingine anachofanya ni kuwanunulia mzigo wateja kwa gharama zao kama vile unavyomuagiza mtu kitu akuletee kutoka mkoani au nje ya inchi.

Sasa kinachotokea ni nani anabeba gharama za kontena, usafirishaji, hadi kumfikia mteja na yeye Niffer ana price vipi bei zake hadi kupata faida.

Kama lengo lake ni kupata access ya kwenda china kubeba vitu vyake plus vitu vya wanunuzi hapo sawa of which tutarejea kule kule kwa mwanzo kuwaharibia wale wanaoagiza bidhaa nje pale kariakoo.

Bado sijaelewa hiki anachokifanya Niffer anatumia theory gani ya biashara.
 
Hizi biashara za namna hii huwa zinakuja kuishia na madeni na kuchafuana. Nimeona sana hii kitu aiseee atakuja ishia kuitwa tapeli. Ipo siku.
 
Kuna mengi hapa watu hawajui wanahisi ni rahisi. Na yule binti alichokosea ni kutangaza labda kama kuna kigogo anamtomba hapo sawa.
 
Nimegundua wapiga kelele hapa wengi ni mawinga k/koo kwaiyo wanamwonea wivu mtoto mdogo anawakosesha ugari
 


Kumbe na wewe hujui kitu, Nike Air Force OG upate kwa tshs 35,000? Hizo sio Air Force ni fake Air Force, so hata huyo binti sijui Niffer anauza bidhaa fake tupu as well.

Air Force OG huwezi pata chini ya $ 80 - $90, so hizo unaona Kkoo au Instagram za hapa Tz ni fake tupu..!! Wafanya biashara hapa Tz kuleta bidhaa OG ni ngumu sbb hakuna wanunuzi kwa bei za bidhaa OG, so wote hao wanauza copy or fake tupu..!!
 
Wewe mpuuzi kuna sehemu nimesema ni OG?
 
Binti anakosea ila huenda akajirekebisha. Asichojua ni kuwa katika wanaomlaumu kuna ambao hadi kwenye upunda walishafanya kwahiyo suala la roho ngumu liko damun

Nimegundua wapiga kelele hapa wengi ni mawinga k/koo kwaiyo wanamwonea wivu mtoto mdogo anawakosesha ugari
Tatizo sio ugali tunamuonea huruma maisha yake watu wa kariakoo sio watu Kuna Hadi misukule pale inauza vitu madukani na kubeba, maduka kibao yamefikiwa watu chini so aje pole pole aulize walinzi wapale wanavyo viona usiku kkooo kwenye maduka .
 
Dada wa watu alifanya thinical calculation akajua apige angle Gani Ili atoboe kwenye soko na baada ya kuanza kuinuka vita inazidi kuwa Kali lakini always business is about competition and your competitor is ua enemy in business perspectively kwaiyo lazima tuelewe ata wachangiaji kuwa business is science and science is about game changer. Kikubwa wanaoona anaharibu wajikite hapa stick what you know and what you do best.
 
Unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe
 
uko sahihi....biashara ni vita.....kila mmoja apambane....dunia inaji "update" kila uchwao.....hakuna kukariri tena...
 
Hizi biashara za namna hii huwa zinakuja kuishia na madeni na kuchafuana. Nimeona sana hii kitu aiseee atakuja ishia kuitwa tapeli. Ipo siku.
Kuna dada mmoja alikuwa maarufu pale Mwananyamala, sasa hivi kakimbia, chezea madeni wewe. Alikuwa anaagiza bidhaa za watu. Ameacha watu wanadaiwa kibao. Yaani ni chain za madeni
 
Kuna dada mmoja alikuwa maarufu pale Mwananyamala, sasa hivi kakimbia, chezea madeni wewe. Alikuwa anaagiza bidhaa za watu. Ameacha watu wanadaiwa kibao. Yaani ni chain za madeni
Kuna m'moja jina nimelisahau. Alikuwa anafanya hizi hizi biashara za kuagizia watu bidhaa nje kwa bei nafuu. Yeye alikuwa anawachukulia vyombo vya ndani.

Alikuwa amekusanya kiasi kama bilion moja hivi kwa Total, ila alikuwa amefanyia kitu kingine zile hela sasa kibao kikageuka naona kuna mtu wake wa karibu alienda kumchoma kwa wateja kuwa pesa zao ametumia kwenye kitu kingine ndio maana anawacheleweshea mizigo yao sio maswala ya bandari wala nini na waliwapa ushahidi kabisa.

Raia wakajiunga wakaanza kumtafuta kwa RB kabisa kama tapeli na kutaka arudishe pesa zao. Hapa ninavyoongea sijui yupo huko Dubai kama sio china ameamua kujificha huko maana huku Dar hadi makazi alipokuwa anaishi amehama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…