Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

Huyu binti akifanikiwa kuchomoka asirudie tena sifa za kijinga. Sema toto lina mvuto ni laana.... kwa waliowahi kuchakata mbususu yake watakuwa wana ushuhuda mzito sana wa kutoa mbele ya madhabahu ya MWAMPOSA. Mimi kwa kipindi chote toka nimfahamu nimekuwa nikimtamani. Kabla ya yeye nilikuwa nikimtamani Jokate. TRA wamfanyie wepesi.
 
Binafsi simjui huyu Niffer ila naongelea industry kwa ujumla....

Hivi katika mtiririko mzima who is the King - Mteja au Muuzaji ? Na kama mnunuzi anaweza kupata hata bidhaa bure who cares kuhusu muuzaji ?

Hapa hakuna cha kina Niffer au sijui nani (sababu katika consumption Bongo bado sana online na mambo ya Matozo bado mtu kununua kwenye mtandao huenda ikawa gharama kuliko kwenda field na asilipe Kodi) Bongo hatuna consuming power hivyo kila senti matters na ujanja ujanja mwingi tu....., na mwisho wa siku mwenye pesa ndefu anaweza kununua mzigo kwa bei ya chini kuliko mwenye pesa ya kuunga unga...., Na tukiongelea wale ambao pesa wanazo kwao issue sio bei bali ni status kwamba nimenunua cha bei mbaya na wachache tunacho...

Lakini tukirudi katika mada kwa upeo mkubwa mwisho wa siku tunaingia katika information age na conglomerates are the King mwisho wa siku wakiamua watu kama Azam wenye mtaji na waliopo kwenye industry nyingi ndio watakuwa kings..., Wengine kazi za uchuuzi haziwezi zikatu-sustain ukizingatia Bongo wafanyabiashara wengi ni wachuuzi na madalali katika different levels..

Ila tutakapofika online wenye say watakuwa ni platform owners sababu ndio watakuwa wana-charge commissions na competition ya yoyote itakuwa just click away...
 
Yaani ndugu hili tatizo la watu kuingia tamaa na kuanza kutumia pesa za wateja kwenye mambo mengine imeshakuwa Sugu. Niffer pia ana hizo kesi za wateja kutopata vitu vyao. Ishu yake kwa sasa ni nzito.... tumuombee binti hili sakata liishe.
Ana sakata gani?
 
Huyu binti akifanikiwa kuchomoka asirudie tena sifa za kijinga. Sema toto lina mvuto ni laana.... kwa waliowahi kuchakata mbususu yake watakuwa wana ushuhuda mzito sana wa kutoa mbele ya madhabahu ya MWAMPOSA. Mimi kwa kipindi chote toka nimfahamu nimekuwa nikimtamani. Kabla ya yeye nilikuwa nikimtamani Jokate. TRA wamfanyie wepesi.
Nifa kafungua bonge la duka
 
huyo binti ni mshenzi tu, Biashara ina nidhamu zake nayeye ametoka kwenye mstari wa nidhamu. kushusha bei bidhaa hakujawahi kuwa njia sahihi ya ushindani wa biashara bali ni kuharibu biashara.
In case kma ufahamu hii mbinu ya kushusha bei ndio Dangote aliitumia sana miaka ya mwanzo mwanzo wakati ndio anaanza kuliteka soko huko kwao afrika magharibi na alifanikiwa sana mpaka leo hii
 
Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia kila biashara huku akivunja miiko mingi ya biashara hizo. Wanadai Niffer amekuwa akiharibu bei za soko kwa makusudi huku akiponda bidhaa za wafanyabiashara wengine.

Hili suala limekuwa na mitazamo mingi. Watu wengi wamesema Niffer yuko sahihi kwa sababu ni mbunifu na hakuna sheria anayovunja. Upande mwingine unadai sio vema Niffer kuanika bei zake ndogo hadharani kwa sababu zinawaharibia wenye maduka ambao wanalipa kodi nyingi sana. Binafsi baada ya kufuatilia hili sakata nimeona ni sahihi 100% Niffer kuendelea kuwapelekea moto hao wakongwe wasiotaka kubadilika. Pia yeye kuuza vitu kwa bei ya chini ni msaada kwa wananchi wengi. Niffer ni mjasiriamali kamili anayetatua changamoto za raia huku raia wakiweka pesa kwenye wallet ya Niffer.

Ukitoa wauza nguo kwa bei ya jumla hao wafanyabiashara wengine ni wapigaji kwa kuweka bei za juu kupitiliza. Nina ushahidi usiotia shaka. Kwa mfano raba za AirForce zinazouzwa 35 - 50k... ila kuziagiza hadi kukufikia haizidi 15k kila kitu. Sasa kuna sababu zipi za kuuza kwa bei mara 2 au 3? Wanyabiashara wakongwe jueni kabisa kutatokea kina "Niffer" wengi sana na sokoni kutachafuka mno. Mjiandae kisaikolojia.

Ninamshauri Niffer naye asifanye kosa la kuponda bidhaa za wenzake. Apromoti tu bidhaa zake bila kutamka shombo kuhusu wengine. Wafanyabiashara wakongwe wana mbinu nyingi safi na chafu kwahiyo awe makini asije akazimishwa. Ni HATARI. Pia yule boyfriend wa Niffer awekeze zaidi kwenye kukata viuno kitandani maana kwa hali ilivyo Niffer anaenda kuwa mkubwa zaidi na kuna mabaradhuli wenye hela hawawezi kuona mtoto mkali kama yule wakaacha apite hivihivi.
Jamii forum bana 😂😂😂wajuaji weeeengi paragraph ndefu no proof on anything ...dah et airforce elfu 15 fungua duka bas ...airforce zina grade zaid ya 5 ila ww umekariri za elfu 15 haya lete bna upige mihela
 
Haya mambo yameniahinda kuyaelewa mimi nipo misungwi..
Huyo niffer ndio nani huko daslamu?
 
Jamii forum bana 😂😂😂wajuaji weeeengi paragraph ndefu no proof on anything ...dah et airforce elfu 15 fungua duka bas ...airforce zina grade zaid ya 5 ila ww umekariri za elfu 15 haya lete bna upige mihela
Duh!
Kusema AirForce zina grade kama 5, nimesisimka!
Maana hata hiyo grade ya 5, ni magumashi ya viwango vya juu
Bora nivae huyu myama na picha yake🤣🤣🤣🤣

1721689120761.png
 
Hata nifa simjui, sijui ni tiktok sijui instagram.
Ila vibinti siku hizi vina maisha aisee.
Ni mrembo wa kihaya anayesumbua sana mtandaoni, anafanya biashara ya nguo anamiliki ndinga kali na mafanikio katika umri mdogo wa miaka 24 kama sijakosea. 😁😁
 
Wamemkalia kooni tu dada wa watu bure,, sidhani kama mtu kua na biashara zaidi ya moja ni makosa maana kila mtu anaangalia kwa wakati huo fursa zinapatikana upande upi
Kila mtanzania ana front office na back office, hata Rais naye yuko hivyo, wastaafu nao wako hivyo, wabunge na mawaziri wako hivyo, so huyo dada asishambuliwe
 
Ni mrembo wa kihaya anayesumbua sana mtandaoni, anafanya biashara ya nguo anamiliki ndinga kali na mafanikio katika umri mdogo wa miaka 24 kama sijakosea. 😁😁
Wahaya nao wana warembo siku hizi aisee dunia inaenda kasi sana.

Ila ni kawaida mkuu, mabinti sasa hivi pesa wanayo na pia wanajua kuitafuta.
Nina kadem kako na 20yrs ila kanasaka pesa as if kanakufa kesho.
 
Jamii forum bana 😂😂😂wajuaji weeeengi paragraph ndefu no proof on anything ...dah et airforce elfu 15 fungua duka bas ...airforce zina grade zaid ya 5 ila ww umekariri za elfu 15 haya lete bna upige mihela
Kamwambie mamako afungue
 
Back
Top Bottom