Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Naongea km afisa wa mipango miji.Aliyekuambia hivyo ni nani?
Au hayo ni maoni yako binafsi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naongea km afisa wa mipango miji.Aliyekuambia hivyo ni nani?
Au hayo ni maoni yako binafsi?
Usilinganishe dar na urambo. Na ni Jiji urambo ni Wilaya.Dar si ni kama wilaya ya ulambo tu kwa ukubwa!! Watu wa dar mkishuka stend kufika unakolalamikia ni mbali nauli buku 2 imezidi sana. Kuna watu tunashushwa stend ulambo kufika nyumbani elfu 8, halafu mnataka stendi kila wilaya wakati kigoma hata lami ni shida.
Ni uvivu tu wa kufikiri wa wanasiasa, hasa kwa sababu wao sio watumiaji wa hizi stendi.Tatizo ni tunabadili matumizi ya stand kutoka kwenye kurahisisha usafiri kwa watu wa mkoa husika kuwa:
1. Soko kwa wamachinga.
2. Nyenzo ya kubadili kakijiji kuwa mji.
Pakichangamka stand inapelekwa mbali. Sasa ikienda mbali vya kutosha lengo la kurahisisha usafiri linapotea maana unakuwa na stand mkoa X iliyo karibu na mkoa Y kuliko mkoa X.
Na mwenye bus anawajibika kwa waliompa leseni ya biashara!! Complain zozote abiria fikisha kwa wasimamizi (LATRA) na si kuwatumia wamiliki wa mabasi. Mbona zikitokea ajali wa kulalamikiwa ni latra eti hawadhibiti makosa ya waendesha mabasiHapo utakuwa unampangia mwenye basi Cha kufanya. Yeye kaamua kuwasaidia abiria wake basi.
Kati ya msongamano na maslahi ya abiria lipi Bora?.Inanikera kuongeza msongamano wa magari mtaani wakati ilishafika kituoni kwake.
Sasa serikali itawashughulikia kwa kutoheshimu mkataba wa kikazi.Kwenye biashara Kuna offer Kwa mteja ili kumvutia awe mteja wa kudumu Kutokana na offer. Mabasi yametumia hiyo gap kupata loyal customers. Ni mfumo wa kibiashara.
Nimelinganisha ukubwa sijalinganisha hali ya kiuchumi. Mjini usafiri ni uhakika 24 hoursUsilinganishe dar na urambo. Na ni Jiji urambo ni Wilaya.
Bora msongamano usiwepo. Abiria hana maslahi kwa yeye kufikishwa shekilango ni uhuni tu na lialia nyingi.Kati ya msongamano na maslahi ya abiria lipi Bora?.
Hii yote wanafanya kwa vile wao hawapandi mabasiUnatoka zako kwenu Tukuyu na mikungu yako ya ndizi na viroba vya viazi mbatata wanakushushia Mikumi ujitafutie daladala za kufika kwenu Kibamba🤣
Sasa waambie waliokutuma tunataka stendi nyingine kubwa kabisa ya mabasi hapo Urafiki/Shekilango serikali ilipopanunua. Serikali itakapoanza kupaendeleza wajenge majengo ya maghrofa 30 halafu chini kwenye basements tunataka stendi kubwa zaidi ya ilivyokuwa ubungo.Naongea km afisa wa mipango miji.
Haya ndo mawazo ya kujenga na si kugoma. Kugoma ni njia ya mwsho kabisa kama malalamiko yako hayajafanyiwa kazi kwa muda mrefu.Sasa waambie waliokutuma tunataka stendi nyingine kubwa kabisa ya mabasi hapo Urafiki/Shekilango serikali ilipopanunua. Serikali itakapoanza kupaendeleza wajenge majengo ya maghrofa 30 halafu chini kwenye basements tunataka stendi kubwa zaidi ya ilivyokuwa ubungo.
Hivi ni nani alishauri kwamba kujenga stendi nje ya miji ni mipango miji?.Naongea km afisa wa mipango miji.
Kama wanaona biashara haiendi si wafunge biashara! Kuna mtu anawalazimisha kuendelea na bishara?
Ila nchi hii ina viongozi wa ajabu sana, hapo unakuta waziri anayehusika kwa kushirikiana na timu Msoga, kwakua tu stendi ina jina la Magufuli, basi kubadilisha jina, ikashindikana baada ya mchezo wao kuwekwa mitandaoni.
Wameona waje na mbinu ya kutofanya ulazima kwa wamiliki wa ma bus kuhakikisha wanashushia abiria na mizigo yao pale stendi...... Ili stendi ijifie yenyewe taratibu..... Jambo la aibu na linalopaswa kukemewa na jambo hili linaendelea kuonyesha kwa namna gani nchi hii inaongozwa wajinga waliopewa nafasi. Hivi JPM angekua hai, kuna mmiliki wa mabasi angeivimbia serikali namna hiii?
Halafu hapo kuna dola, dola hiii hiii tunayosema kila siku iko mafunzoni kuhakikisha jicho lake linamulika kwa maslahi mapana ya taifa. Nadhani moja ya sehemu inayohitaji kufumuliwa ni mfumo mzima wa dola, umejaa wapigania matumbo tu .
Enyi wavivu, wazembe, wala rushwa na mafisadi wakubwa, jina la John Pombe Magufuli, hili halitakaa kufutika mioyoni wa taifa hili, historia itayasahau majina yenu pale tu mtakapokufa, lakini haitokaa kumsahau JPM.
Ushuru mabasi yote yanalipa Vizuri tu wa kuingia na kutoka wawe wanaingia au hawaingii ushuru wao wa stendi Wenye mabasi walushalipa hao vibaka wataka mabasi lazima yaingie wao ni nani na inawahusu Nini wakati Wenye mabasi walishalipa ushuru wao wa kuingia na kutoka Kila basi wao ni LATRA au wamiliki wa stendi?Kuna gari hailipi ushuru pale Mbezi?
Ajira gani iliyopotezwa ?
Au ndio nyie wauzaji wa bidhaa?
Na LATRA wameruhusu stendi Shekilango na urafiki etc. Hivyo wamiliki wanafuata utaratibu.Na mwenye bus anawajibika kwa waliompa leseni ya biashara!! Complain zozote abiria fikisha kwa wasimamizi (LATRA) na si kuwatumia wamiliki wa mabasi. Mbona zikitokea ajali wa kulalamikiwa ni latra eti hawadhibiti makosa ya waendesha mabasi
Sahihi waache kutishia nyau Wenye mabasi na abiria shenzi zaoKama wanaona biashara haiendi si wafunge biashara! Kuna mtu anawalazimisha kuendelea na bishara?
Naongea km afisa wa mipango miji.
Mabasi yote yanayopita Morogoro road yanaingia stand ya mkoa, ishu n kwamba mabus yameamua kuangalia biashara zaidi na kumpa unafuu abiria.kurasa zote nimesoma sijaona aliyeongelea sababu za mabasi kukwepa stendi ya mkoa
Kumbe shida yako ni nauli.Imejengwa kwa mikopo yenye riba nafuu siyo pesa zako. Tunasubiri ushuke pale tupate kodi tukalipe deni. Nafananisha ndege na bus kwa kuwa vyote vina vituo maalumu vya kupakia na kushusha, hata hiace zina vituo maalumu vya kupakia na kushusha. Bus zingekuwa na msaada huo zisingelalamika kuomba kupandisha nauli, mafuta yakishuka mbona hawaombi kushusha nauli?? Ni uhuni tu.
Sahihi na LATRA Kuna wasomi na wako vizuri na wako sahihiNa LATRA wameruhusu stendi Shekilango na urafiki etc. Hivyo wamiliki wanafuata utaratibu.