Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Mnang'ang'ania hayo majengo mtafikiri mlisaidia kupeleka tofali za ujenzi saiti.

Wavunje zote kuanzia upanga, posta hadi kariakoo maana haziendani na usasa wa mji na wala huwezi kuyaweka kama majengo ya kale.

Ila naelewa hofu yao kwa kuwa wamekulia humo, wamezaliana humu na kujiona wana hati miliki ya jengo.
 

We ni tahira na punguani mkubwa.tena kilazaaa ungetoa hoja bila kuleta ubaguzi wa kikuzi.na mtahama tuh
 
Kwaa kwa kutulia, hizo nyumba nyingi hazina faida kwa NHC maana maduka ni machache sana na mfumo wa kizamani.
 
Unawekeza kwenye nyumba ya mtu kwa kutegemea kuishi milele hpo [emoji3]kua serious ebu
Personal nishaachana na hao sakapoko wamebaki wanafamilia wengine, kwenye hiko kibanda chao na sioni wakivunja block yetu wapangaji wake wengine wanalindwa na walinzi wa serikali 24/7.

Lakini aindoi haki za wapangaji wengine dhidi ya huu unyanyasaji.
 
Wawalipe fidia za loss of income kwa miaka kadhaa ndio watu wanavyofanya na gharama fixtures and fittings za maduka yao; sio kupenda mambo rahisi.

Yaani unachukulia poa tu kisa jengo mali yako utadhani watu awakutafuta hizo hela za kuwekeza hapo.
Kwamba walilazimishwa kupanga?
 
Wengi wao hawatafikia vigezo
 
Eti jamani ile kamati iliyoundwa baada ya mgomo wa wafanya biashara wa kariakoo imefikia wapi? Si walipewa siku 14 kufikisha ripoti yao kwa mheshimiwa? Au ndio imekuwa kama ile kawaida ya watanzania? Piga kelele, unda kamati, tafuta jengine?!!!!
 
NHC wana nyumba zaidi ya 400 Kariakoo na Posta

Wanavunja nyumba 19 tu Kariakoo
 

Hakuna unyanyasaji wowote.hata ww ukimpangisha mtu kwako ukija itaka nyumba yako sheria inataka uwape wapangaji notisi ya siku 90 .na hao ni wapangaji
 
Biashara 1000 zinaweza kuwa zimeajiri watu wangapi kila duka. Ukishawatoa hao wenye maduka na wafanyakazi wao hao watu wanaenda kula wapi?

Haya tupe jibu wewe mwelewa?
Ndo mana kunq mjumbe alisema akili za kijamaa ni za kimaskini sana. Kwa iyo nikikupangisha kama nataka kufanya maendeleo yangu nisikupe notisi ya kutoka tena ya muda wa kutosha kwa sababu nahofia utakula wapi? Kwanza mpangoshaji ni mimi tu? Ndani ya miezi mitatu huwezi pata mwenye nyumba nyingine ukaendelea na biashara?

Kwa akili hizi nchi hii maendeleo tusahau tuna mijitu mijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…