Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

Nendeni mahakamani mpigwe pesa tena! Huo mkataba haukuandaliwa na mambumbumbu na wapangaji wanafahamu. Uwekezaji wako unapaswa kuzingatia mkataba wa upangaji wako, siyo unawekeza kama kwako kwenye nyumba ya kupanga!
 

Mkataba walio sign unatala taarifa ya miezi 3, NHC wametimiza mkataba wao, waondoke tu haraka.
 
Kabisa kabisa ! Waende Mahakamani tu!! Sheria zitatafsiriwa huko !! Halafu hao jamaa wanaoutetea mkataba wana makasiriko ya haraka sana 😅 sijui ni kwanini 😅 !
 
kwani huwezi kuhamia sehemu nyingine ukapanga?
 
Nendeni mahakamani mpigwe pesa tena! Huo mkataba haukuandaliwa na mambumbumbu na wapangaji wanafahamu. Uwekezaji wako unapaswa kuzingatia mkataba wa upangaji wako, siyo unawekeza kama kwako kwenye nyumba ya kupanga!
Ukute hapo zaidi ya nusu ya wafanyabiashara hawana mikataba yenye majina yao.
Yaani Mpangaji OG aliingia mkataba toka 1970s na hajulikani aliko
 
Hii ndio Tanzania na huu ndio uchambuzi wa uhakika
 
Ukute hapo zaidi ya nusu ya wafanyabiashara hawana mikataba yenye majina yao.
Yaani Mpangaji OG aliingia mkataba toka 1970s na hajulikani aliko
Wapangaji OG walikwisha acha biashara wametulia tuli wanakusanya cha juu kutoka kwa hao wapiga zumari!
 
Biashara 1000 zinaweza kuwa zimeajiri watu wangapi kila duka. Ukishawatoa hao wenye maduka na wafanyakazi wao hao watu wanaenda kula wapi?

Haya tupe jibu wewe mwelewa?
"..... hao watu wanaenda kula wapi?...." A typical Tanzanian dumbass question.

Ukipanga nyumba mkataba wako ukaisha na mwenye nyumba akakupa notisi ya kuhama miezi mitatu unajiliza ukidai utakula wapi?
Nyinyi ndio kama wale wapuuzi wa Magomeni kota waliokuwa wanalialia eti "nimezaliwa hapa, nimekulia hapa sasa naondolewa nitaenda wapi".

Nyumba za NHC sio mali ya urithi wala mkataba wa kudumu, someni hayo makaratasi mliyosaini, hamkuuziwa nyumba mlipangishwa. Nyinyi ni wafanyabishara tena capitalists, kwenye capitalism world hamna huo uwendawazimu wa 'hawa watakula wapi'. Nyumba ziko prime area ila hali yake ni kama mabanda, muundo wa kizamani hata total area ya kufanyia biashara inabanwa. NHC wanataka wajenge zinazoendana na wakati na kuboresha nyinyi mnaleta njaa zenu za siku moja kama ndege. Miji haijengwi kwa mawazo ya kulalia na kula usiku mmoja, inajengwa kwa kuwaza miaka kadhaa mbele. Paris ya sasa ilijengwa miaka ya 1800s kama wangeleta njaa za kula usiku mmoja wangekuwa kwenye magofu hadi leo.
 
Katika hili nadhani serikali itumie tu busara na huruma kwa kuwapa hata notisi ya mwaka mmoja wahame. Wafanyabiashara wengi wana mikopo ambayo hadi wauze ndo wapate rejesho. Katika huo mwaka wanaweza kujiandaa na kuwapanga wateja wao waende kwenye ofisi zao zingine. Kwa upande mwingine ni funzo kwa wafanyabiashara vilaza wanaodharau elimu na kudhani ukiwa na hela ndo kila kitu. Serikali hapo ikiamua isisikilize mtu tayari hao jamaa ni kilio kwasababu NHC kisheria wako sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…