Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaka umechafukwa kweli kweli.
 
Tatizo ni wanasiasa kutaka ruka na kila beat
 
Ila hii nchi kuongoza ngumu Sana.
Sasa mkataba unasema ,mwenye jengo anakupa notisi ya siku 90 ,wewe unaandamana hutaki.
Na hapo wamepewa baada ya wote kumaliza mkataba ndo maana hujasikia hata mmoja akidai kulipwa fidia ya kodi.
Kwa ufupi hao ni wavamizi
 
Fire mbona washaambiwa zamani sana kabla ya hawa?

Fire hawajaongea sababu pale hakuna maduka mengi
 
Kuongoza watanganyika Bora upewe kuchunga Mbuzi kidogo wanaweza kuelewa
Tatizo ni wanasiasa.
Mfano mzuri ni mtu atalalamika Kariakoo kuna fujo,
Boda boda wana fujo
Mafuriko Dar
Barabara finyi

Ila hao hao wanaolalamika, ikitokea sheria ikaanza kazi, wao ndo wa kwanza kwenda vyombo vya habari kulalamika.

Mafuriko sehemu kubwa Dar yanatokana na watu kujenga njia za maji

Boda hawapaswi ingia Kariakoo ila wanasiasa wameruhusu kwa faida zao
 
Lengo la NHC ni maduka yapatikane mengi, hapo kwa sasa maduka ni machache maana mwanzo kabisa zilikuwa nyumba za watu
 
Acha siasa na kuendekeza upumbavu na ujinga.
Ujue hata hiyo miezi 3 hakuna anayelipa kodi.

Hapo wote wanaishi bure kwa sasa, ni wao kuamua kusuka au kunyoa
 
Hata Paris na London yapo majengo mengi ya zamani sana !
 
Nawaonea huruma wafanyabiashara ila upande mwingine zile ghorofa zimechoka sana ndio wawape muda halafu zifumuliwe ziwe kama za Victoria zile kakifupi ziwe modern sio kama zile za miaka ya 47 huko.
 
"..... hao watu wanaenda kula wapi?...." A typical Tanzanian dumbass question.

Ukipanga nyumba mkataba wako ukaisha na mwenye nyumba ajakupa notisi ya kuhama miezi mitatu unajiliza ukidai utakula wapi?
Ttz la watz wengi ni kupuuzia vitu
Utakuta hapo kabla mtu anasema aaah hapa kuvunjwa tena hamna wameandika tuu sasa likitokea kama hili makelele ni kila kona
 

Nawe umejuaje kama tutafeli mkuu.Kwann hutaki paboreshwe?Kwann wataka pawe ivo ivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…