Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Mwenye mchele wa brown bei ya kawaida naomba anicheki....nahitaji
 
Naombeni mnielekeze ni wapi nitapata Perfume za kupima.. sample tofauti...kama creed, invictus,..etc

Perfume & spray kwa bei nzur nenda karibia na uwanja wa mnazi mmoja ulizia duka la hussein ni muhindi anapua ndefu huyu jamaa yupo vzr san mm nanunuaga perfume pale kwake ni 13,000 lkn maduka ya kawaida ni 20,000 mkoani nilikutaga arusha nikauliz nikaambiwa 30,000
 
Sikalibu namsiki wa manyema
 
Wapi nitapata chimbo la madaftari Aina ya MSOMI na CHAMPION na PROFESSOR COUNTER BOOK 2&3 QUIRE kwabei ya jumla
 
Quality matters a lot, ujazo pia, na aina ya manukato nahisi hata location ya biashara inachangia pia[emoji16]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Quality ndo hiyo hiyo

Nnapochukulia nadhani hata hao wa makumbusho walianzia hapo kabla hawajaanza kuingiza mzigo wao

Taste ya Hapo kwa Hao wapemba au huyo Muhindi kazi ni ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…